Bukobawadau

MCH.NA MWALIMU WA KAHORORO ATANGAZA NIA YA KUWANIA UBUNGE BUKOBA MJINI

Mwalimu Aidan Muganyizi Gerald pichani.

Mjini Bukoba kabla hata kipenga hakijapulizwa tayari Mchungaji na Mwalimu wa Kahororo High School mapema ameshatangaza nia ya kuwania kiti cha Ubunge jimbo la Bukoba Mjini kupitia CHADEMA
Jimbo la BUKOBA kama yalivyo majimbo mengine mkoani hapa tayari limeanza kunyemelewa na watangaza nia kutoka vyama tofauti vya siasa.

Akiongea na Bukobawadau Mwalimu Aidan Muganyizi Gerald amesema;''Nina Umri wa miaka 29,nia na sababu ya kugombea kwanza ni kurudisha heshima ya mji wetu katika kuongeza kasi ya kusambaza huduma za kijamii katika sekta ya Elimu na Uchumi,tumeporomoka katika heshima ya Usomi NCHINI ,nikipata fursa nitawashawishi wahaya wote Duniani kuwekeza Bukoba katika Viwanda na Elimu,ninaazimia katika kaulimbiu (Back to Bukoba Movement we are willing, It must become)'',alisema.

Next Post Previous Post
Bukobawadau