Bukobawadau

HARUSI YA ABDULRAZAK BYABUSHA NA BI ANIAN


Asalaam Aleykum hii ni baada ya Bwana harusi wetu Abdulrazak Juma Hamdani al maarufu Byabusha alipo kaa na kuona ni jambo lipi lenye maana atakaloweza kuliwasilisha kwa Mola wake kwa kuzingatia Dunia inavyokwenda kasi.
 Picha inatupa mwanzo wa matukio yaliyojiri katika harusi ya wawili hawa Bw,Abdulrazak Byabusha na Bibie Aniah Mushile,Sehemu ya kwanza ikiwa ni  matukio ya Ndoa yao iliyofungwa siku ya Jumamosi iliyopita ,Nyumbani /masikani kwao na Bi harusi yalipo makao makuu ya Wilaya ya Karagwe ndani ya Mji Mdogo wa Kayanga.
Ndivyo anavyo onekana mwali wetu  Bi Aniah M. Mushile

Best man wa bwana harusi pichani kushoto Ndugu  Ibrahim Bukenya
Bwana harusi akisaini cheti cha ndoa yake
Bwana Harusi akiokea mkono wa pongezi kutoka kwa Sheikh Mustapha
Wanaonekana Dada wa Bwana Harusi wetu pichani
Mkubwa Ibrahim Byabusha  ambaye ndiye Kaka mkubwa wafamilia ya Alhaji Juma Hamdani Byabusha katika Ubora wake wa usomaji wa Quran
 Umati wa watu ukifuatilia tukio nzima la harusi hii iliyopendeza ,ikiwa katika misingi sahihi ya kiislam ikiwa na mambo flani flani swafiiiii! Watu flani flani hadimu yaani kila kitu ni babu kubwa kama inavyo onekana kupitia picha  mbalimbali  hapa hapa ndani ya BUKOBAWADAU.
  Harusi hii ya Abdulrazack na Bibie Aniah imefanyika nyumbani kwao na Bwana harusi kijijini Rwanda Kamachumu siku ya jumapili Feb 1,2015 Siku moja baada ya kufunga ndoa yao huko Kayanga Karagwe, ambapo nako mambo yalienda vizuri sana kama ulivyoweza kujionea kwa mkutasari sehemu A ya mtiririko wetu .
 Muhimu ni kwamba unaruhusiwa kabisa kushare picha zetu  na marafiki zako wengine popote pale!!
Dr. Abas Byabusha na Mdogo wake Hamada Byabusha.
Ratiba inaanza kwa Burudani ya Shairi maalum kwa ajili ya maharusi
 Ndugu Kandanda na Haji Nurag Galiatano  wakiongozana kumtunza Sheikh kwa Ushairi wake.

 Uncle Abdulkadil na Alhaji Ibrahim Byabusha nao wakashindwa kujizuia


 Uncle pichani kwa mbali anampia my wafe wake kwa mbalii...!!
 Naye Mama kwa mbali anamjibu Mr wake kwa tabasamu !!
Congratulations  Abdulrazak the gal is beautiful kwa kweli...!
 Hamsha hamsha ukumbini kutoka kwa wanafunzi wa madarasa.
 Katikati ni Mama Mzazi wa Bwana Abdulrazak Byabusha akiwa ameongozana na Bi Khadja Kabea

Taswira mbalimbali Ukumbini
Mama Jamila Songoro na Sehemu ya wanafamilia pichani
 Uncle Salum akiwajibika
Sehemu ya wageni waalikwa wakifuatilia kinacho.

Kisomo cha Quruan.


 Maharusi wakiteta na Ndugu na jamaa
 Kushoto ni Bi Sofia Hamad (Mrs Nurag)katika picha ya pamoja na Mme wake.
 Muhimu ni kwamba unaruhusiwa kabisa kushare picha zetu  na marafiki zako wengine popote pale!!
 Moja ya picha ya kumbukumbu na Kaka yake Bwana Harusi
MATUKIO YA PICHA ZAIDI  YA 200 GONGA HAPA >> RAZAK& ANIAN <<MUHIMU KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau