Bukobawadau

IVORY COAST MABINGWA AFCON 2015 WASHINDA KWA PENATI 9-8 DHIDI YA GHANA

Ivory Coast wamekuwa mabingwa wapya wa Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2015 baada ya kufuinga Ghana kwa penalti 9 - 8 katika mchezo wa fainali ulichezwa katika uwanja wa Estadio de Bata huko Equatorial Guinea.
  Mlinda Mlango wa Ivory Coast Boubacar Barry ambaye alikuwa hapangwi mara kwa mara lakini ndiye aliyeibeba Ivory Coast baada ya kudaka penati na kufunga penalti ya mwisho
 Miamba hiyo ya ''The elephants''wakiongozwa na  nahodha wao Yaya Toure wamepata ushindi huo baada ya dakika 90 kuisha bila kuungana na dakika 30 za nyingeza
Hatua ya penati mambo yalikuwa hivi
1.Mubarak scores for Ghana: 1-0
2.Bony misses for Ivory Coast
3.Ayew scores for Ghana: 2-0
4.Tallo misses for Ivory Coast
5.Barry saves Acquah penalty: Ghana lead 2-0
6.Aurier scores for Ivory Coast: 2-1 Ghana
7.Acheampong misses for Ghana: 2-1 Ghana
8.Doumbia levels the score: 2-2
9.Andre Ayew scores for Ghana: 3-2
10.Yaya Toure scores: 3-3

11.Mensah scores for Ghana: 4-3 Ghana
12.Kalou scores for Ivory Coast: 4-4
13.Badu scores for Ghana: Ghana 5-4
14.K. Toure scores for Ivory Coast: 5-5
15.Afful scores for Ghana: 6-5 Ghana
16.Kanon scores for Ivory Coast: 6-6
17.Baba scores for Ghana: 7-6 Ghana
18.Bailly scores for Ivory Coast


19.Boye scores for Ghana: 8-7 Ghana
20.Die scores for Ivory Coast: 8-8
21.Brimah misses penalty for Ghana: 8-8
22.Barry scores winning penalty - Ivory Coast win 9-8

Wachezaji wa timu Ivory Coast wakisherekea kutwa Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON kwa penalti,hili ni  taji lao la kwanza tangu mwaka 1992
Mchezaji Yaya Toure wa Ivory Coast (katikati) akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kushinda Kombe la Mataifa ya Afrika kwa penati 9-8 dhidi ya Ghana
Nyota wa Manchester City  na nahodha wa Ivory Coast Yaya Toure akikabidhiwa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa mwaka 2015
Mshambuliaji wa Manchester City Wilfried Bony akiwa amembeba begani shujaa wa mchezo huu mlinda mlango Boubacar Barry (katikati), aliye funga penalti ya ushindi.
Kiungo wa Ghana Andre Ayew akipe moyo na kutulizwawa na kocha wake Avram Grant mara baada ya kupoteza mchezo wa fainali wa Kombe la Mataifa ya fainali Afrika  mwaka 2015
'FULL KADANSEEE' Kocha mkuu wa Ivory Coast, Herve Renard (katikati) akishangilia kwa kucheza ngoma  na wachezaji wake baada ya kushinda Kombe la Mataifa ya Afrika
Next Post Previous Post
Bukobawadau