Bukobawadau

BALOZI KAMALA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KONGAMANO LA KIMAITAIFA LA BIASHARA UBELIGIJI

 Balozi wa Tanzania Ubeligiji, Laxembourg na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (wa kwanza kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi Kutoka Nchi Mbamlimbali Duniani Baada ya Ufunguzi Rasmi wa Kongamano la Biashara la Kimataifa linalofanyika Genval Ubeligiji. Makampuni zaidi ya 500 yakiwemo hamsini kutoka Tanzania yanashiriki Kongamano hilo. Makampuni hapo yanatoka nchi zinazozungumza kifaransa. Tanzania ni nchi pekee inayozungumza kingereza iliyokaribishwa kushiriki.
Kesho, Balozi Kamala atawasilisha mada ya kubainisha fursa za uwekezaji na biashara zinazopatikana Tanzania.
Next Post Previous Post
Bukobawadau