Bukobawadau

ZIARA YA UTALII NA BIASHARA NCHINI RWANDA

YAH:Ziara ya Utalii nchini Rwanda ,mpaka hivi sasa mchakato unaenelea vizuri sana,shukrani ziwafikie wadau waliopo Jijini Dar ambao tayari wameonyesha ushirikiano wao.
Na kwako mdau msomaji bado unayo nafasi,waweza kuwasiliana na mratibu wa ziara hii kupitia simu yake ya mkononi  0756823250 si mwingine ni Mpambanaji @Willy Bukobatours Rutta
Next Post Previous Post
Bukobawadau