Bukobawadau

SIKILIZA 'AUDIO' YALIYOJIRI KATIKA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI ILIYOANDALIWA NA MH. AMANI KWA WAGENI KUTOKA NYKOMBING MORS

Hafla ya chakula cha jioni iliyo andaliwa na Mh.Anatory  Amani kwa ajili ya Wageni kutoka Nykombing Mors nchini Denmark,hafla iliyofanyika siku ya jana May 5,2015 @ Bukoba Corp Hotel,hafla hiyo imehudhuliwa na wadau mbalimbali ,wafanyabiashara na viongozi wakiongozwa na Mwenyeji Mr. Johanssen Lutabingwa ambaye ndiye Secretary Bukoba Sistership  Promotion Trust Fund.
                 SIKILIZA YALIYOJIRI KATIKA AUDIO HAPA CHINI BILA KUONGEZA NENO WALA KUPUNGUZA BUKOBAWADAU TUTAKUFIKISHIA HABARI HII KATIKA PICHA ZAIDI NA VIDEO FULL VERSION ,ENDELEA KUWA NASI!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau