Bukobawadau

TANGAZO KUHUSU SAFARI YA HIJJA


HOTLINE +255 754 823 461 na +255 784 270 290
 TANGAZO: TCDO inawatangazia wote wenye nia na uwezo waendelee kujiandikisha na kulipia kwaajili ya Ibada ya HIJA. Kwa watakaolipia mapema watapata punguzo maalumu
watakaolipa kwa kuchelewa watalipa kiasi cha 4,575$. Pia unatakiwa kulipa kidogokidogo ili uingizwe katika orodha ya matandao wa mwaka huu kabla haujafungwa, kiasi kitakachobaki kitalipwa kabla ya safari
SAFARI: Tunatarajia kusafiri tarehe 14/09/2015 Sawa na mwezi Mosi Dhulhija 1436H.

lipia kupitia TANZANIA CHARITABLE AND DEVELOPMENT ORGANIZATION (TCDO), Benki ya Kiislamu ya AMANA Akaunti namba 001120014800001 kwa pesa za kitanzania na 001120014800002 pesa za kigeni.
Pia Benki ya CRDB tawi lolote Tanzania akaunti namba 0150270179100 kwa pesa za Tanzania na Akaunti na. 0250270179100 kwa pesa za kigeni
MAWASILIANO:
  1. D’salaam, Kinondoni -  Swed Twaibu Swed
   +255 754 823 461/ +255 784 270 290
  1. Saudi Arabia, Makkah na Jeddah    +966 557028927

  1. Dar es Salaam, Imamu Mkuu Msikiti wa Kichangani Magomeni
 Sheikh Walid    Alhadi Omari.+255 715 190 068
  1. D’salaam, Kinondoni.
Alhaji Dr. Ahmed L. A. Twaha.  +255 754 524 525
  1. D’salaam, Msikiti wa Makuti Magomeni,   
Alhaji Sheikh Mahmoud Abdallah Waziri –  +255 787 261 860
  1. D’salaam Kigamboni
Alhaj Sheikh Omar Hassan Mohamed Msenga. + 255 716 474 743
  1. D`Salaamu
            Alhaji Ahmed Mwinyimkuu (Kizigo) +255 713 362 043

  1. Kagera, Kashai
            Alhaji Sheikh Idrisa Eliasi Shaabani +255 754 407 692
  1. D’salaam, Ilala
Hajat Ustaadhat Salama Adam + 255 718 978 703
Next Post Previous Post
Bukobawadau