Bukobawadau

MAKATIBU WAKUU OFISI YA WAZIRI MKUU WAANZA KAZI RASMI LEO

Katibu Mkuu Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt. FlorenS Turuka ambaye awali alikuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, (wa pili kulia) akisitiza jambo wakati makatibu wakuu wapya wa Ofisi ya Waziri Mkuu walipokutana na Menejimenti ya Ofisi hiyo (hawapo pichani) leo, tarehe 4 Januari, 2016, kulia kwake ni Katibu Mkuu (Bunge) Mussa Uledi, (wa kwanza kushoto) ni Katibu Mkuu (Kazi na Ajira) Erick Shitindi na (wapili kushoto) ni Katibu Mkuu (Sera) Dkt. Hamis Mwinyimvua.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwasikiliza makatibu wakuu wapya (hawapo pichani) wakati makatibu wakuu hao (hawapo pichani) walipokutana na Menejimenti hiyo leo, tarehe 4, 2016 Januari katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Jijini Dar es salaam.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Katibu Mkuu (Kazi na Ajira), Erick Shitindi akisisitiza jambo wakati wa kikao na Menejimenti ya Ofisi ya Waziri Mkuu (hawapo pichani) alipowasili katika Ofisi hiyo na makatibu wakuu wapya wengine wa Ofisi hiyo , leo, tarehe 4 Januari 2016, (kulia kwake ) ni, Katibu Mkuu (Sera) Dkt. Hamis Mwinyimvua. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwasikiliza makatibu wakuu wapya (hawapo pichani) wakati makatibu wakuu hao (hawapo pichani) walipokutana na Menejimenti hiyo leo, tarehe 4 Januari, 2016 katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Jijini Dar es salaam.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwa na Makatibu wakuu wapya Katibu Mkuu, (Bunge) Mussa Uledi, (wa pili kushoto) pamoja na aliye kuwa Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo ambaye sasa ni Katibu Mkuu Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt. FlorenS Turuka (wa tatu kutoka kushoto), Katibu Mkuu (Kazi na Ajira), Erick Shitindi (katikati) na Katibu Mkuu (Sera) Dkt. Hamis Mwinyimvua (watatu kutoka kulia) mara baada ya makatibu wakuu hao kukutana na Menejimenti hiyo leo, tarehe 4 Januari, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Next Post Previous Post
Bukobawadau