Bukobawadau

WADAU MJINI BUKOBA WALIVYO UPOKEA MWAKA 2017 KIVINGINE KABISA...@ ''THE UMURA ROCKS''

 Baadhi ya wakazi wa Mji wa Bukoba wakishangilia kwa furaha kuupokea mwaka mpya 2017 saa 6:1 za usiku wa Mkesha watu waliojitokeza katika Kiota cha 'Umura Rocks ' sehemu tulivu kabisa iliyopo kilimani kando kando ya Ziwa Victoria ,Watu hao walionekana kifamilia zaidi na kwa utaratibu uliopendeza na kuufanya Usiku huo kuwa wa aina yake.
Furaha za kuupookea Mwaka 2017 zikiendelea katika Kiota hicho kilichopo maeneo ya Kashura ,Manispaa ya Bukoba.
Mr Kazimoto Mwenyekiti wa Maandalizi ya Shangwe za Usiku wa Mwaka Mpya akiwa tayari na kipaza Sauti Mkononi kwa ajili ya Ufunguzi Rasmi.
 Mkurugenzi Wa The Umura Rock akiwakaribisha wageni Wote na kuwashukru kwa kuichangua 'Umura Rocks' Kama sehemu sahihi kwa ajili ya kuupokea Mwaka Mpya wa 2017.
Kutoka kutoka Mr Chichi, Mr Kazimoto,Adv. Ishengoma na Bi Farida Kassim wakiyapokea kwa furaha maneno kutoka kwa Mkurugenzi wa The Umura Rocks.
Mr& Mrs Badru Kichwabuta pichani..
Hewani ni kile kibao Chaguo la Wengi (favorite Music )Pana  bya Tecno kikiendelea kuchukua kasi.
Mrs Chichi katika picha na Mkurugenzi wa The Umura Rocks Bi Balyagati.
Mr Anic Kashasha akitolea jambo ufafanuzi ikiwa ni pamoja na kutumia fursa hiyo kuwajuza Waalikwa Uwepo wa Ugeni wa Mh. Rais kwa siku inafuata..


Bango la The Umura Rocks kiota kilichopo km chache Nje ya Mji wa Bukoba


Alex Mutiganzi, Ruge Masabala na Kemmy Mtahaba katika picha ya kumbukumbu .
Omwana Adde 'Mrs Chichi' wakati akiongoza Sala ya Chakula pamoja na kumshukuru Mungu kwa kuweza kufika 2017 Salama.
Watu wakiinama na Kusali kwa pamoja 'Kwegashaniza'
Mr. Kazimoto Mwenyekiti wa Umoja wa Wadau waishio Jijini Dar akitumia fursa hiyo kuwakaribisha waalikwa Ukumbini.
Mr Kazimoto akitoa utambulisho na Kumpongeza Mkurugenzi wa 'The Umura Rocks' Bukoba
Mr Kazimoto akiwajibika kuwapa furaha waalikwa wote Ukumbini.
Bi Leticia pichani kushoto akishow love na mwanae
Baadhi ya Waalikwa Ukumbini


Ni Mwendo wa Kuserebuka kwa pamoja ikiwa ni furaha ya kuupokea Mwaka Mpya wa 2017
 Uncle Badru Kichwabuta akipiga akipiga cheers na Kijana Mpambanaji maarufu kwa jina la 'Omuyaye'
Ni Mwendo wa Cheeers ukumbini ,furaha ya kuupokea Mwaka Mpya 2017.
 Mdau Ruge Masabala (kushoto) katika picha na Wadau wengine waliojumuika pamoja kufurahia Mwaka Mpya wa 2017
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi wa Shangwe hizi akitolea jambo ufafanuzi
 Baadhi ya waalikwa wa Shughuli hii wakipata msosi 'Kanwana' murua kabisa ulio andalia
 Sehemu ya Wadau wa Shughuli hii wakipata msosi kwa pamoja.
 Baadhi ya akinamama walihusika kwa kujumuika na familia zao kufurahia Mwaka Mpya katika Kiota kilichopo pembezoni kidogo mwa Mji wa Bukoba Kijulikanacho kama 'Umura Rocks'
Bi Farida Kassim akiwajibika kupata kumbukumbu.
Wadau wakiendelea kupata Msosi wa Mwendo kazi aka Mboga Saba..
Nao walishiriki na Wenzao kuupokea Mwaka Mpya hapo hapo 'The Umura Rocks'.
Wakati wadau Waalikwa wakiendea kupata huduma ya Chakula.
Watoto kama kawaida Walikuwa wa Kwanza kupata huduma ya Chakula kilicho andaliwa hapo hapo 'The Umura Rocks'
Waalikwa wote wakiendelea kufurahia Mwaka Mpya wa 2016 na Madiko diko kibao...
Wadau wakiendelea kufurahia Mulo.
Mwendo wa Kutosi Ukumbuni ikiwa ni mapokezi ya Mwaka Mpya wa 2017
 Majira ya Saa 8 Usiku kikatengwa Kitu cha Supu ili kupunguza makali ,baada ya hapo Shangwe zikaanza 'Non Stop' Mpaka alfajiri.
Mkubwa Alex Mtiganzi akibadilishana Mawazo na Mr Chichi wakati wakiendelea kupata Supu
Waandaji wa shamrashamra za Mwaka Mpya wakiendelea kupata Supu na kubadilishana Mawazo
Wadau wakicheck na Camera yetu eneo la tukio 
BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0768 397241
 Kivutio kikubwa ilikuwa ni Mashindano ya Kucheza Music yaliyowashirikisha watu wazima na Watoto kwa makundi mawili tofauti
 Wakati zawadi zilizo andaliwa kwa mshindi wa kuserebuka zikionyeshwa hadharani muda mchache kabula Madj awajaanza kukisanua.
 Kaunta ya Juu huduma ya Vinywaji ikiendelea...
 Mwanzo wa kuserebuka Mangoma kwa watu Wazima
 Ndo kwanza kasi zinaendelea kuchukua kasi...
Taswira mbalimbali eneo la tukio.
 +255 784505045 nikiwa na Mkubwa Alex Mutiganzi Mnyaluganda wa Buganguzi.
 Bi Sharifa Karwani na Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta
 Baadhi ya Watoto walioweza kujuika na Wazazi wao wakifatilia kinachojiri
Mwisho kabisa Kumbuka kujiunga nasi katika Ukurasa wetu wa facebook #BukobawadauMedia.
Next Post Previous Post
Bukobawadau