Bukobawadau

WAZIRI WA HABARI ,UTAMADUNI ,SANAA NA MICHEZO MHE. WAMBURA AONGOZA MAZOEZI UWANJA WA SAMORA IRINGA ASUBUHI YA LEO

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura (wa  tatu kutka  kushoto mwenye kikoi shingoni ) akizindua rasmi mazoezi  ya  viungo kwa  mkoa wa Iringa kama agizo la  serikali kila jumamosi ya pili ya  ya mwezi wananchi  wote kushiriki mazoezi ,kushoto kwake ni mbunge wa Kilolo Venance  Mwamoto  na kulia ni mbunge wa  viti maalum mkoa  wa Iringa Ritta Kabati (CCM) akifuatiwa na mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza
 Katibu tawala wa  mkoa wa Iringa Wamoja  Ayub kulia  akifurahia mazoezi kulia kwake ni mbunge Mwamoto  na mkuu  wa  mkoa  wa Iringa.
 Afisa habari  Manispaa ya  Iringa  Sima Bingieki wa  kwanza  kushoto   akishiriki mazoezi  leo uwanja  wa  samora
 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura wa  pili  kulia  akifurahia  mazoezi na mkuu wa  mkoa wa Iringa Amina Maasenza  wa kwanza  kulia
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura wa tatu kushoto na  viongozi mbali mbali wakiongozwa  kufanya mazoezi na Dc Iringa  Richard Kasesela
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura kulia akifanya mazoezi ya  viungo na mbunge  wa  viti maalum mkoa wa Iringa  Ritta Kabati  katika  uwanja  wa  samora  Iringa  leo
Watumishi  ofisi ya  mkuu wa Mkoa na  RPC Iringa  wakiwa katika mazoezi
Baadhi  ya  wananchi  wa mji  wa  Iringa  wakiwa  katika mazoezi  leo kutoka  uwanja  wa  samora  kuelekea  ofisi ya RC Iringa
Hivi ndivyo  wananchi  walivyoshiriki mazoezi  Iringa
Wananchi  walioshiriki mazoezi  wakiwasili  ofisi ya RC Iringa  wakitokea  Samora
Wananchi na  viongozi  walioshiriki mazoezi wakiingia  viwanja  vya RC Iringa
Kila  mmoja  afurahia mazoezi
Mazoezi  kwa  afya 
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura wa tatu kushoto na  viongozi mbali mbali wakiongozwa  kufanya mazoezi na Dc Iringa  Richard Kasesela,wa  kwanza  kushoto  ni mkuu  wa mkoa Iringa Amina Masenza ,mbunge wa viti wa  maalum mkoa  wa Iringa  Ritta Kabati ,mbunge  wa Kilolo Venance  Mwamoto na katibu tawala  mkoa  wa Iringa  wamoja  Ayub
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akipongeza  wananchi  kwa  kuitikia mazoezi ,katikati ni mkuu wa  mkoa  wa Iringa Amina Masenza na mkuu wa  wilaya  Iringa Richard Kasesela
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura mwenye kikoi shingoni akiongoza mazoezi  Iringa  leo
Mazoezi  ya  viungo  kwa afya  yakiendelea
Ni  Full mazoezi  Iringa
Diwani  mstaafu  wa Mtwivila Vitus Mushi katikati  akishiri mazoezi
Mpiga  picha maarufu  Iringa  Said Mnyalugendo  kushoto  akiwa katika mazoezi
Kamanda  wa  polisi  wa mkoa wa Iringa Julius Mjengi  kushoto akiwa na kamanda wa kikosi cha  zimamoto na uokoaji Bw  Komba wakishiriki mazoezi  leo
Mazoezi  kila mmoja kwa afya
Askari  wa FFU  wakishiriki mazoezi
Wananchi  walioshiriki mazoezi  wakimsikiliza naibu  waziri
Walioshiriki mazoezi  wakitoka  uwanja  wa Samora kwa mazoezi kurudi  ofisi ya mkuu wa mkoa wa Iringa
Kamanda wa  polisi mkoa  wa  Iringa Julius Mjengi kulia akifurahia mazoezi na kamanda  wa kikosi cha zimamoto na uokoaji mkoa wa Iringa Bw Komba
Tupo  safi  askari  polisi  wakiwa katika mazoezi
mazoezi  kutoka  uwanja  wa  Samora  Iringa  kuelekea ofisi ya  mkuu wa mkoa wa Iringa
Mazoezi  kwa  afya  yanaweza  saidia  kupunguza magonjwa mbali mbali kama  Kisukari
Shughuli  nyingine  zasimama kupisha mazoezi ya  viugo Iringa
DC  Kasesela  akiongoza mazezi
Mazoezi  safi
Askari  polisi wakiwajibika kisawa sawa
 watumishi ofisi ya RC  Iringa Bw Shimwela  akiwajibika na  wenzake
Mbunge  Mwamoto  na  mkuu wa  mkoa  Masenza  wakifanya mazoezi
Mkuu  wa mkoa wa Iringa Amina Masenza na mbunge wa Kilolo Venance Mwamoto  wakifurahia mazoezi
Mwenyekiti  wa UWT  Iringa  vijijini Shakra  Kiwanda na afisa  ushiriki  mkoa wa Iringa John Kiteve  wakiwa katika mazoezi
Mkuu  wa  wilaya ya  Iringa  Bw Kasesela  akiwatazama  viongozi  wenzake wakiendelea na mazoezi uwanja wa Samora leo
(PICHA ZOTE NA MATUKIODAIMABLOG
Next Post Previous Post
Bukobawadau