Bukobawadau

MATUKIO YA PICHA KTK MAZISHI YA ARISTIDES RUMANYIKA KYOMBO - KIJIJINI KITOBO -MISSENYI

Moja kwa moja kutoka Kijijini Kitobo-Kyazi ni matukio ya picha yaliyojiri katika shughuli ya Ibada ya mazishi ya Arstides Rumanyika Kyombo iliyofanyika mwishoni mwa juma nyumbani Kwao kijijini Kitobo Wilaya ya Misenyi.
 Shughuli ya Ibada  ya mazishi hayo iliongozwa  na Fr.Potentin ambaye ni Baba paroko wa Parokia ya Buyango Wilayani Missenyi.
 Umati wa waombolezaji wakiendelea kushiriki Ibada ya Mazishi ya mpendwa wao Aristides Rumanyika Kyombo.
 Baadhi ya wombolezaji wakati shughuli ya Ibada ikiwa inaendelea.
Sehemu ya wafiwa na Waheshiwa Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi.
Marehemu Aristides Rumanyika Kyombo alizaliwa mwaka 1957.
Shughuli ya Ibada maalum iliyofanyika siku ya Jumamosi April 8,2017 ikiwa inaendelea
 Katika hali ya simanzi ya kuondokewa na Mjomba wake pichani anaonekana Ms Lesper George
#Bukobawadaumedia tunatoa pole kwa wafiwa wote,Mwenyezi Mungu aipokee riho ya marehemu Aristides Rumanyika Kyombo mahala pema peponi.
Mdau Sharifa Karwani pichani akiwa ameungana na waombolezaji wengine katika msiba huo
Muonekano kibandani waumini wakishiriki Ibada ya mazishi hayo April 8,2017
 Salaam za rambirambi kutoka kwa wadau mbalimbali zikiendelea
 Bi Happy mwakilishi wa CRDB Bank akitoa salaam za rambirambi
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mvomero mkoani Morogoro Florent Kyombo akipokea rambirambi,aliyefiwa na Kaka yake Mkubwa
 Bwana Vijisent akikabidhi rambirambi kwa niaba ya wanachama wenzake wa 'Umoja ni Nguvu Missenyi'
Bwana James Rwekunda kutoka Tarime akutoa salaam za rambirambi.
Shangazi wa marehemu (Ma Dina ) na Ma Kaveli wakitoa heshima zao za mwisho.
Marehemu Aristides Rumanyika Kyombo enzi za Uhai wake pichani
Vilio na machozi yakimtoka Mwl. Beaty ambaye ni mdogo wa Marehemu Aristides Rumanyika Kyombo
 Wanafamilia wakiendelea kutoa heshima zao za mwisho
 Katika hali ya huzuni wanaonekana baadhi ya wanafamilia pichani
 Wanakwaya wakiimba wakati zoezi la kutoa heshima za mwisho likiwa linaendelea
 Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho kuuaga mwili wa Marehemu .
 Waombolezaji wakishiriki Ibada muda mchacha kabla ya kuelekea eneo la makaburi kwa ajili ya kumpumzisha mpendwa wetu Aristides Kyombo
 Hakika ni huzuni mkubwa kwa familia kumpoteza mpendwa wao.
 Taswira mbalimbali yaliyojiri kijijini Kitobo Kyazi, katika maziko ya Aristides Rumanyika Kyombo
 Bi Olva Rwebugisa mmoja wa waombolezaji
 Fr.Potentin ambaye ni Baba paroko wa Parokia ya Buyango Wilayani Missenyi akiombea Jeneza lenye mwili wa Aristides Rumanyika Kyombo
 Baadhi ya madiwani walioweza kushiriki shughuli hii ya mazishi ya mpendwa wetu Aristides Rumanyika Kyombo.
 Sehemu ya waombolezaji pichani kushono ni Uncle Abdul (Koma ) Galiatano
 Mjane wa marehemu pichani kushoto akifuatiwa na watoto wake
 Mc mwongozaji wa Shughuli hii akiweka sawa kipaza sauti


 Wanaoneka wafiwa wakati wa kuelekea eneo la makaburi
 Jeneza lenye Mwili wa Mpendwa wetu Aristides Rumanyika Kyombo likiwa limebebwa kuelekea eneo la makaburi
 Safari ya Mwisho ya maisha ya Baba yetu, Kaka yetu, mpendwa mzazi wetu Aristides Rumanyika Kyombo.
 Mmoja ya watoto wa Marehemu akitokwa na majozi
 Jeneza la mwili wa  Aristides Rumanyika Kyombo likiingizwa kaburuni...
 Mjane wa Marehemu Aristides Rumanyika Kyombo akielekea kuweka shada la maua kwenye kaburi
Watoto wa kuzaliwa na Marehemu wakiweka mashada ya maua.
 Watoto wakiume wa kuzaliwa na Marehemu Aristides Rumanyika Kyombo wakiweka shada la maua kwa niaba ya wadogo zao.
 Klinne, Jnior na Laite ambao ni watoto wa wadogo zake marehemu Aristides wakishiriki kuweka shada la maua
 Mwakilishi kutoka katika familia ya Kagya akiweka shada la maua
 Muonekano eneo la kaburi Shughuli ya mazishi ikiendelea....
Matukio ya kuweka mashada yakiendelea kwa wanafamilia
Utaratibu  wa kuweka mashada ya maua ukiwa unaendelea.
 Wadogo wa Aristides Rumanyika Kyombo wakiweka shada la maua kwa pamoja
 Kaka mkubwa wa Aristides Rumanyika Kyombo akielekea kuweka shada la maua
 Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya Missenyi wakiwa shada la maua
 Bwana James Rwekunda ambaye ni mwakilishi kutoka Tarime akiweka shada la maua
Shangazi wa Marehemu akishiriki kuweka shada la maua
Familia za ndugu wa marehemu zikishiriki kuweka mashada ya maua
 Diwani wa kata Bugandika akimwakilisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Missenyi kweka shada la maua kwenye kabri la Marehemu Aristides Rumanyika Kyombo
 Taswira mbalimbali kupitia mtandao wako wa #Bukobawadaumedia
 Wafiwa mara baada ya kuweka mashada ya maua
 Ibada ya mwisho tukiwa bado eneo la kaburi kabla ya kuwarudisha wafiwa ndani.
 Sehemu ya marafiki wa Mwalimu Beaty aliyefiwa na kaka yake wakiwa wanamfariji
 Pole sana ndg kuondokewa na Kaka yako mpendwa
 Muendelezo wa matukio ya picha mara baada ya shughuli ya mazishi
 Matukio zaidi yanapatika katika ukurasa wetu wa facebook @bukobawadau media

 Bi Sima Isaya pichani kulia akicheck na Camera yetu msibani hapo
Kabla ya Mwisho tunapenda kutumia fura hii kukuza kuwa Sasa unaweza kupata habari mpya Za uhakika kilahisi zaidi kwa kudownload Application ya Bukobawadau kwenye simu yako kutoka play store GONGA HAPA KUDOWNLOAD
 Waombolezaji wakimpa mkona wa pole Mkurugenzi Florent Kyombo
 Waombolezaji wakiendelea kuwafariji wafiwa
 Majirani wakibadilisha mawazo mara baada ya shughuli ya mazishi
 Wanafamilia wakibadilishana mawazo mara baada ya shughuli ya mazishi kukamilika
Wadau mbalimbali waliofika kuungana na familia ya Kyombo katika kipindi hiki cha majonzi
 Bwana Ruben Sunday na Bi Salome (Mama Chui) wakati wakiwasili kwa ajili ya kushiriki shughuli ya mazishi hayo
 Bi Jane wa Mtk akiwasili eneo la msibani.
Mwisho tunapenda kutumia fura hii kukuza kuwa Sasa unaweza kupata habari mpya Za uhakika kilahisi zaidi kwa kudownload Application ya Bukobawadau kwenye simu yako kutoka play store GONGA HAPA KUDOWNLOAD


Next Post Previous Post
Bukobawadau