Bukobawadau

RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI AWASILI TANGA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. JOHN MAGUFULI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Musevi mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Tanga kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa mradi mkubwa wa usafirishaji wa Mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda mpaka katika bandari ya Tanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Musevi mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Tanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake wakati akielekea kwenye Dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Rais wa Uganda Yoweri Musevi katika Ikulu ya Tanga.

PICHA NA IKULU
Next Post Previous Post
Bukobawadau