Bukobawadau

VIDEO:MBUNGE BALOZI DKT. KAMALA AKABITHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZOTE WILAYANI MISSENYI NA TIMU 13 ZA KATA JIMBONI NKENGE

 Mbunge wa Jimbo la Nkenge leo amekabidhi vifaa vya michozo vyenye thamani ya shilingi milioni 36,080,000 za kitanzania kwa shule zote za sekondari zilizo ndani ya Wilaya ya Missenyi
Vifaa hivyo vimekabidhiwa katika mkutano mkubwa wa kila mwaka wa  Wadau wa maendeleo wa Jimbo la Nkenge uliofanyika jana Alhamisi Dec 14,2017 katika ukumbi wa Halmashauri ya Missenyi-Bunazi 
Akiongea na wadau Balozi Dk. Kamala amesema; 'anaomba vifaa hivyo vitunzwe kama ilivyokusudiwa pia ametumia fursa hiyo kutoa shukrani kwa Ubalozi wa Ubeligiji Tanzania,Chama cha Mpira cha Ubeligiji kwa kusaidia kupata Vifaa hivyo pia amekishukuru kiwanda cha Kagera Sugar kwa kusaidia kusafirisha vifaa hivi kutoka Dar es Salaam mpaka Missenyi jimboni mwake.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI
Next Post Previous Post
Bukobawadau