SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

27 January 2018

MATUKIO YA PICHA FINALI ZA #BUKENYACUP KAMACHUMU

 Muonekano wa Meza Kuu katikati ni Mdhamini wa Michuano ya BukenyaCup2017 Ibrahimu Bukenya akifatiwa na Mgeni Rasmi Mbunge wa Jimbo la Muleba Kaskazini Charles John Mwijage ambaye ni Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji katika Serikali ya Awamu ya Tano


Mashabiki wa mpira wa Soka wakifuatilia mtanange unavyoendelea Ni mwendo wa burudani katika viwanja vya Kalemela Polisi Kamachumu
 Mgeni Rasmi Charles John Mwijage Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji katika Serikali ya Awamu ya Tano akiongea mara baada ya michuano ya fainali za BukenyaCup2017

Msanii wa Nshomile akitumbuiza uwanjani hapo
 Mdhamini akitoa wadhifa wake kwa ufupi kabla ya kukabidhi zawadi zilizoandaliwa.

Mwisho wa Matukio ya picha

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU