SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

25 January 2018

MATUKIO YA PICHA PANDE ZA #UMURA ROCKS BUSIMBE BUKOBA HII ILIKUWA FUNGA MWAKA

Mkurungenzi wa Umura Rocks Bed and Breakfast Bukoba Ms Willielimina Balyagati pichani Mdau Rahym Kanyemela aliweza kuungana na wadau wengine katika maadhimisho ya kuukaribisha mwaka mpya 2018

 Bwana Ruga Baruti akipata huduma ya msosi


 Mdau Alex Mtiganzi mtu wa watu mtu wa furaha wakati akipata huduma ya chakula


 Bwana Johnson mkurugenzi wa Gift Sound akifatilia kinachoendelea mahali hapo
 Huduma ya kupata msosi ikiendelea kwa watu wote
Umura Rocks offers accommodations in Bukoba. Guests can enjoy the on-site restaurant. Free WiFi is featured and free private parking is available on site.Zawadi ziliweza kutolewa kwa washindi wa mashindano ya kucheza muziki

 Mr Chichi na Bwana Rahym.Inaendelea kwa matukio zaidi ya picha na maelezo
   


Mwisho

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU