SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

21 January 2018

MSAFARA WA MWILI YA BI ANASTAZIA RWECHUNGURA UKIELEKEA KIJIJINI GERA

Matukio ya picha kutoka Mochwari ya hospitali ya Mkoa  Kagera Ulipokuwa umehifadhiwa mwili wa Mpendwa mama yetu Bi Anastazia Gervas Rwechungura mpaka Nyumbani kwake Kijijini Gera
 Nje ya Mochwari ya hospitali ya Mkoa Kagera mara baada ya taratibu zote kukamilika tayari kwa safari kuelekea kijijini Gera.
 Msafara ukielekea kijijini Gera siku moja kabla ya shughuli ya mazishi


Jeneza lenye mwili wa Mpendwa Bi Anastazia tayari likiwa ndani
Watoto wa Bi Anastazia Rwechungura wakiwa katika picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu
Watoto wa Bi Anastazia Rwechungura wakiwa katika picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu


Mara baada ya mwili kwasili nyumbani kijijini Gera

 Waombolezaji wakiwa tayari kwa ajili ya mapokezi ya mwili ya mpendwa wetu Bi Anastazia Rwechungura wakati ukiwasili nyumbani kwake kijijini Gera
Mwishi

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU