SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

14 February 2018

BALOZI DK KAMALA ATEMBELEA ZAHANATI YA BUGORORA

Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala aanza ziaraJimboni kwake leo Jumatatu Feb12,2018 atembelea Zahanati ya Bugorora na kulidhishwa na huduma pamoja matumizi ya fedha zilizotolewa kiasi cha sh.mil 10 kwa ajili kuboresha na kutatua kero sugu zilizokuwa zikiwasumbua katika zahanati hiyo.
Balozi Dr.Kamala mara baada ya kuwasalimia na kuwajulia hali baadhi ya wagonjwa waliokuwa wamefika kutibiwa katika Zahanati ya Bugororo Wilayani Missenyi
Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala  anaendelea na ziara yake kwa kuzitembelea kata zote 20 Jimboni na kuzungumza na wananchi kupitia mikutano ya hadhara.

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU