SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

21 February 2018

BALOZI DR.KAMALA ASHUKURU KWA ZAWADI.

Balozi Dr.Diodorus Buberwa Kamala Mbunge Jimbo la Nkenge akipokea zawadi kutoka kwa Vikundi vya akinana na Vijana wa Kijiji Kilimilile Wilayani Missenyi mara baada yamkutano wake wa hadhara ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Kila kijiji,kila kata na baadhi ya Vitongoji jimboni.
Jimbo la Nkenge lina jumla ya kata 20.

Zawadi mbalimbali zilizopokelewa na Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr.Diodorus Buberwa 
Balozi Dr.Kamala akifurahi na kumshkru mmoja ya kinamama hao kwa Upendo mkubwa kwake
Baadhi ya Vijana wakimkabidhi Mbnge wao zawadi.

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU