SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

18 February 2018

MAMIA WAMZIKA DIWANI KATA MINZIRO ALHAJI TWAHA YUNUS LUBYAHI

 Mamia ya wakazi wa Mkoa wa Kagera na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa ,Dini na Serikali wakiongozwa na Mkuu kiportokali wameshiriki katika mazishi ya aliyekuwa Diwani ya Kata ya Minziro Wilaya Missenyi Alhaji Twaha Yusup Lubyahi aliyefariki siku ya Ijumaa Februari 16 na kuzikwa jana Jumamosi Februari 17,2018 Nyumbani kwake Minziro huku Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Kagera Sheikh Haruna Kichwabuta katika nasaha zake akiwataka watu kudumisha amani iliyopo nchini
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Missenyi akikabidhi rambirambi kwa wanafamilia
 MNEC Willy Mutabuzi akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera Mama Costansia Buhiye
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala akisalimiana na baadhi wa waombolezaji mara baada ya kufika msibani hapo
Baadhi ya Viongozi wa Dini wakiongozwa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Kagera Sheikh Haruna Kichwabuta
 Mwenyekiti wa Almashauri ya Missenyi  Tegamaisho akikabidhi rambirarambi  kwa niaba ya balaza la Madiwani 

 Baadhi ya madiwani wa halmashauri Missenyi katika picha mbalimbali
Al haji Kayondo ambaye ni Kaka wa marehemu Haji Twaha akitoa neno kwa niaba ya familia
Neno la shukrani kwa niaba ya familia likitolewa na Al haji Kayondo pamondo na Mwanae Majid

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU