SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

19 February 2018

MBUNGE BALOZI DK KAMALA ABAINI MCHEZO RANCHI YA MISSENYI

 Balozi Dr.Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge siku ya Jana februari 18,2018 alifanya ziara ya kushtukiza Ranchi ya Missenyi na kubaini ngombe zaidi ya 1000 wasio na chapa na wasiomilikiwa na hiyo Ranchi ambao yasemekana wanatoka nchi jirani.
 Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr.Kamala akiwa kwenye bango linalokukaribisha ndani ya Missenyi Ranchi
Wanaonekana Ng'ombe aina ya Ankole wakiwa wanapata maji kwenye bwawa la Missenyi Ranchi
 Ng'ombe hao wenye mapembe kama walivyokutwa wakinywa maji kwenye bwawa la missenyi Ranchi
Hii ndio tofuti ya Ng'ombe wa Ranchi ya ya Missenyi wanaotakiwa kuwepo katika maeneo haya tofauti na wale aina ya ankole  wanaosemekana wanatoka nchi jirani 

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU