SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

24 February 2018

MBUNGE BALOZI KAMALA ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI KASHENYE

 Balozi Dr.Kamala atembelea Shule ya Sekondari Kashenye Wilayani Missenyi kwa lengo la kujionea hali ya miundombinu ya shule hiyo  ya Kata Kashenye,pichani Balozi Dr.Kamala akiwa ameongozana na katibu wake Mzee Kato ,Mjumbe wa Shule hiyo pamoja na Mwalimu Mkuu wa Shule pichani kulia.
 Mbunge wa Jimbo la Nkenge akiongozana na 
 Taswira mbalimbali mazingira ya Shule ya Sekondari Kashenye Wilayani Missenyi
Pichani kushoto ni Mwalimu Anthony Bayona mratibu wa Elimu kata Kashenye akipokea waraka wa Elimu bure kuhusu elimu msingi bila malipo, Swala la Elimu bure limeendelea kuzua tafsiri potofu na kuuchukua sura mpya juu ya mustakabali wa elimu hususani katika Jimbo la Nkenge ,Balozi Dr Kamala anajikita zaidi kuwaeleza wananchi Katika kila mkutano wake umuhimu wa Wazazi kuchangia kwa hiari wasishindwe kuchangia ata Uji mashuleni kwani katika waraka huo michango haijakatazwa kabisa,Kauli hiyo imejikita kwenye Waraka namba 3 wa mwaka 2016 ambao umeainisha majukumu ya wadau mbalimbali wakiwemo wazazi ambao wana wajibu wa kuchangia sehemu ndogo ya michango kwenye shule za msingi.
Camera yetu inakutana na Jezi zilizotolewa na Mbunge Balozi Kamala katika kila Shule ya Sekondari Jimboni na timu zote za kata 

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU