SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

21 February 2018

VIDEO: BAROZI KAMALA KIJIJINI KILIMILILE

Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr.Kamala anaendelea na ziara yake Kwa kuzungukia vijiji vyote na vitongozi vya halmshauri ya Wilaya Missenyi kama inavyo onekana pichani mapema ya Leo February 20 akijibu hoja na kuzisikiliza kero za baadhi ya wananchi wa kijiji cha Kilimilile
TAZAMA SEHEMU YA VIDEO HAPA CHINI


Pata sehemu ya matukio ya picha yaliyojiri katika mkutano huo uliofanyika eneo lazahanati ya Kilimilile
 Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr.Kamala anaendelea na ziara yake Kwa kuzungukia vijiji vyote na vitongozi vya halmshauri ya Wilaya Missenyi kama inavyo onekana pichani mapema ya Leo February 20 baadhi ya wananchi wa kijiji cha Kilimilile wakiwa kwenye mstari kwa ajili ya kutoa kero zao 

 Wananchi wakiendelea kutoa hoja zao mbele ya mbunge wao
Taswira mbalimbali mkutano kiwa unaendelea


Balozi Dr.Diodorus Buberwa Kamala Mbunge Jimbo la Nkenge akipokea zawadi kutoka kwa Vikundi vya akinana na Vijana wa Kijiji Kilimilile Wilayani Missenyi mara baada yamkutano wake wa hadhara ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Kila kijiji,kila kata na baadhi ya Vitongoji jimboni,Jimbo la Nkenge lina jumla ya kata 20.
Zawadi mbalimbali zilizopokelewa na Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr.Diodorus Buberwa 
Balozi Dr.Kamala akifurahi na kumshkru mmoja ya kinamama hao kwa Upendo mkubwa kwake
Baadhi ya Vijana wakimkabidhi Mbnge wao zawadi.

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU