SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

14 February 2018

WAZIRI WA ELIMU,SAYANSI,TEKNOLOGIA NA UFUNDI PRO.NDALICHAKO WILAYANI MISSENYI

 Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Pro. Joyce Ndalichako amefanya ziara fupi Wilayani Missenyi kwa kukitembelea chuo cha Ufundi GERA.
Mh.Waziri Prof.Joyce Ndalichako amesema hakubaliani na ukarabati wa chuo cha ufundi Gera uliofanywa na Veta KAGERA kwa gharama ya shilingi milioni 75 ameagiza kuwaVeta Kagera warudie ukarabati huo kwa gharama zao wenyewe.
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Pro. Joyce Ndalichako akisalimiana  Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr.Diodorus Buberwa Kamala ,Balozi Dr. Kamala ametumia fursa hiyo kumshukuru Waziri Pro.Joyce Ndalichako kwa kutembelea Jimbo la Nkenge na kwa namna Wizara yake ilivyosaidia katika miradi mbalimbali jimboni humo hususani katika Kata za Bwanjai na Ruzinga

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU