SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

13 March 2018

JOANFAITH J.KATARAIA AWASHUKRU UVCCM KAGERA

 Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Taifa Joanfaith John Kataraia pichani katikati akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa baraza kuu UVCCM Mkoa Kagera
Bi Joanfaith John Kataraia anatoa shukrani za dhati kwa mapokezi mazuri aliyoyapata mara baada ya kuwasili mjini hapa kwa mwaliko maalumu kama kama Mgeni Rasmi katika kikao cha kwanza cha baraza mkoa mkoa Kagera kilichoambatana na Uchaguzi wa Wajumbe wa baraza la Utekelezaji
Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Taifa Joanfaith John Kataraia kwa umuhimu ametoa shukrani kwa wajumbe wote waliompigia kura yeye pamoja na mwenyekiti wake taifa Kheri James na makamu mwenyekiti wa UVCCM Taifa Tabia Mwita.
Aidha Bi Joanfaith Kataraia anawashukuru kwa dhati Mwenyekiti wa UVCCM Kagera Bi Happiness na Katibu Didas Zimbihile kwa mapokezi mazuri yenye wadhifa.
##Umojaniushindi

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU