SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

05 March 2018

MAEFU YA WATU WAMZIKA BI MASTIDIA BARUTI

 SIKU ya Jana Jumamosi Maech3,2018 Umati wa waombolezaji walijitokeza kwa wingi kushiriki Shughuli ya Ibada ya Mazishi ya Bi Mastidia Baruti (NKANGO) iliyofanyika nyumbani kwa kwa familia yake maeneo ya Mugeza -Burugo nje kidogo ya Mji wa Bukoba.Katika hatua ya kuuaga mwili wa mpendwa Mama yetu Bi Mastidia Baruti ,Mama wa watoto 12,kada mahiri wa CCM na mpenda maendeleo kulikuwa na makundi zaidi ya kumi yaliyotoa salamu za rambirambi
Endelea kuwa nasi mpaka mwisho kwa mtiriko mzima wa matukio ya picha...
 Mchungaji wa Kanisa la KKKT akiongoza Ibada maalumu ya kumsindikiza mpendwa Bi Mastidia Baruti
 Wanafamilia wakiwa wamengana na waombolezaji katika siku hii ya kipekee maishani mwao ya kumuaga mpendwa Bi Mastidia Baruti
 Umati wa waombolezaji ukiendelea kushiriki Ibada ya maziko ya Mpendwa Bi Mastidia
 Mdau Rutta Buruno pichani kushoto akiwa na Ndugu Frank marafiki wa familia waliotoka Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Mpendwa wao Bi Mastidia Baruti.
 Vilio na Machozi vikitawala wakati wanafamilia na watoto wa Marehemu Bi Mastidia wakitoa heshima ya mwisho kumuaga mpendwa wao
 Wanakwaya wakiendelea kuwajibika kwa kuimba nyimba za mapambio
 Wanafamilia wakitoa heshima za mwisho kumuaga mpendwa mama yao Mzazi
Mzee Yakubu akifatana na Haji Salum wakati wa zoezi la kutoa heshima za mwisho
 Mzee Mtungi rafiki wa karibu na familia hii ya mzee Baruti
 Mzee Hahya Kagambo na Ndugu Deo Lugaibula wakitoa heshima za mwisho kuuaga mwili wa mpendwa wetu Bi Mastidia Baruti
Anthony Kayunga wakati akitoa heshima za mwisho
Sehemu ya wajukuu wakitokwa na machozi kwa kuondokewa na Bibi yao kipenzi na mlezi mwema
Hakika umati mkubwa wa watu kutoka maendo mbalimbali nje na ndani ya Mkoa wameweza kushiriki mazishi ya mpendwa wetu Bi Mastidia Baruti
Waombolezaji wakiendelea kutoa heshima zao za mwisho
Waombolezaji wakiendelea kutoa heshima zao za mwisho
Waombolezaji wakiendelea kutoa heshima zao za mwisho
Muongozaji wa shughuli nzima McFrances Mtungi akiendelea kuwajibika
Waombolezaji wakiendelea kutoa heshima zao za mwisho
 Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho ukiwa unaendelea
Taswira mbalimbali msibani hapo wakati shughuli kwa ujumla ikiwa inaendelea

Mdau Rihad akiongozana na waombolezaji wengine kutoa heshima za mwisho .
Tukio la kusikitishawakati mzee Baruti akitoa mkono kama Ishara ya kumuaga mke wake mpendwa
 Bi Jeanifer Murungi kichwabuta akbadilishana mawazo na Joanfaith John Kataraia ambaye ni Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Taifa
 Bwana Rahym Kabyemela na Uncle Majid Kichwabuta kama kawaida katika wepesi wa kushiriki masuala yote ya kijamii
 Hivi ndivyo ilivyokuwa safari ya mwisho wa Maisha ya Mpendwa wetu Bi Mastidia Baruti
 Muonekano wa kaburi
 Jeneza likiwa limebebwa kuelekea eneo la kaburi lililopo hapo hapo nyumbani Shambani
 Jeneza lenye mwili wa Bi Mastidia Baruti likiwa limebebwa kuelekea eneo la kaburi.
 Eneo la kaburi taratibu wa maziko ukiwa unaendelea
Bi Sarah na Binti Asimwe wakiwa eneo la kaburi 
 Mwanzo wa kuweka mashada kwenye kaburi la mpendwa Bi Mastia zoezi linatangulia kwa kuanza na mme wake Mzee Baruti pichani
 Mzee Baruti mara baada ya kuweka shada la maua kwenye kaburi la Mke wake mpendwa Bi Mastidia
 Utaratibu wa kuweka mashada ukiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali
 Utaratibu wa kuweka mashada ukiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali
 Muendelezo wa matukiwa ya picha zoezi la kuweka mashada likiendelea
 Utaratibu wa kuweka mashada ukiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali
 Al Masoud Kamala Kalumuna akiwa tayari kuweka shada la maua
 Adv. Ishengoma akiwa tayari kwa ajili ya kuweka shada la maua
 Kama inavyo onekana pichani Adv. Ishengoma mara baada ya kuweka shada la maua
 Mzee Kwama wakati akiweka shada la maua
Muonekano wa Kaburi la Bi Mastidia K. Baruti
Muendelezo wa matukio ya picha
 Mzee Maulid Kambuga mara baada ya kumpa pole rafiki yake Mzee Baruti pichani kulia
 Mzee Emiry Baruti pichani kushoto akisaliana na  Joanfaith John Kataraia
 Bwana Victar pichani kati ya marafiki wa karibu wa familia ya Mzee Baruti
Anthony kayunga na Bi Irene KayungaPoleni Sana ndugu kwa kuondokewa na mpendwa  Mkwe wenu
Muendelezo wa matukio moja kwa moja kutoka kijijini Burugo Mugeza
 Bwana Agaba na Mdau Mac Juve wakiwa wameungana na waombolezaji wengine katika shughuli ya kumuaga mpendwa wetu Bi Mastidia Baruti
 Bukoba Vijijini, Jason Rweikiza wakati akiwasili msibani hapo.
Kijana Soma pichani
 Bi Salome na Alex mara baada ya shughuli ya mazishi kukamilika.
Pichani anaonekana Mdau Masty.

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU