SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

05 March 2018

VIDEO/PICHA RAMBIRAMBI MAZISHI BI MASTIDIA BARUTI KIJIJINI BUROGO-MUGEZA MARCH 3,2017

 Siku ya Jana Jumamosi Maech3,2018 Umati wa waombolezaji walijitokeza kwa wingi kushiriki Shughuli ya Ibada ya Mazishi ya Bi Mastidia Baruti (NKANGO) iliyofanyika nyumbani kwa kwa familia yake maeneo ya  Mugeza -Burugo nje kidogo ya Mji wa Bukoba.Katika hatua ya kuuaga mwili wa mpendwa Mama yetu Bi Mastidia Baruti ,Mama wa watoto 12,kada mahiri wa CCM na mpenda maendeleo kulikuwa na makundi zaidi ya kumi yaliyotoa salamu za rambirambi pichani ni Sehemu ya marafiki wa Ruge Baruti aliyefiwa na mama yake mzazi
Miongoni mwa waliotoa salamu za rambirambi ni pamoja na Al Masoud Kamala Kalumuna Diwani wa Kata ya Ijuganyundo pichani
Pata Sehemu ya kwanza ya Video hapa Chini ,rambirambi Msiba wa Mpendwa Wetu Bi Mastidia Baruti.
Endelea kuwa nasi katika ukurasa huu kwa matukio zaidi na kwa matukio ya Papo hapo Fanya ku *Follow Instagram* @bukowadau follow @mcbaraka

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU