Eneo la kaburi lililopo shambani kwa mzee Katunzi Kijijini Nyakituntu shughuli ya kumstili mpendwa wetu Kato Katunzi ikiwa inaendelea
Umati mkubwa wa watu wakiwa eneo la kaburi kwa ajili ya kumpumzisha rafiki yetu,kaka yetu mpendwa Kato Katunzi
Taswira mbalimbali kupitia picha #mazishiyaKatokatunzi
Pata matukio ya picha ilivyokuwa Safari ya Mwisho ya Mpendwa wetu Kato Katunzi aliyefariki kwa ajali ya Gari huko jijini Dar es Salaam na kuzikwa nyumbani kwao Kijijini Nyakitundu Kyerwa Karagwe tubasema Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un!!
Muendelezo wa matukio ya picha #mazishiyaKatokatunziKakulu Katunzi ambaye ni ndugu (pacha) wa marehemu Kato katunzi akiwa katika hali ya simanzi, kulia kwake ni Mzazi wao Mzee Katunzi.
#Bukobawadau tunatoa Poleni sana ndugu jamaa na marafiki kwa msiba huu mkubwa
Akinamama wakiendelea kuwafariji wafiwa msibani hapo
#mazishiyaKatokatunzi
#mazishiyaKatokatunzi
Endelea kuwa nasi mpaka mwisho kwa mtiriko mzima wa matukio yaliojiri msibani Karagwe #mazishiyaKatokatunzi
Bwana Tinka katika picha ya pamoja na mdau Charles
Mr Ben Mulokozi,Mr Rahym Kabyemela,Mr Charles wakteta jambo na Mzamir Katunzi mdogo wa marehemu Kato Katunzi
Ni muda sasa wa watu wote kupata huduma safi ya chakula
Sehemu ya waombolezaji wakipata huduma ya Chakula mara baada ya Shughuli ya Mazishi
Taswira mbalimbali kupitia bukobawadau #mazishiyaKatokatunzi
Wakati utaratibu wa msosi ukiwa unaendelea kwa watu wote
Waombolezaji wakipata msosi mara baada ya shughuli ya mazishi hayo.
Bi Jack Mishosho akiendelea kuwajibika kwa kuhakikisha huduma inakwenda sawia kwa wageni waombolezaji
Wadau wakiendelea kupata menu.
Kiongozi Mzamir Katunzi akiendelea kupata mulo safi ulioandaliwa kwa watu wote walioweza kushiri mazishi ya Kaka yetu mpendwa Kato Katunzi
Muendelezo wa matukio ya picha Mzee Matambula pichani mara baada ya #mazishiyaKatokatunzi
Bi Sophia Abdallah,Haji Nuru Galiatano na Kaka Athman nao wameweza kuungana na familia kushiriki shughuli nzima ya #mazishiyaKatokatunzi
Pichani ni mfanyabiashara Marijan Abubakar, maarufu kama Papa Msofe mara baada ya shughuli ya maziko ya rafiki yake mfanyabiashara mwenzake Kato Katunzi
Katika maswala ya kuperuzi pichani wanaonekana Mdau Etick Mtalemwa na Mkubwa Justuce Lugaibula
Athmani katika picha na Najim Bwanika #mazishiyaKatokatunzi
Mzee Matambula pichani na Mdau Joa Rugenge aka (rais wa mpito wa kanda ya ziwa) wakiwa wametulia mara baada ya #mazishiyaKatokatunzi
Poleni sana Bi Edda na Jack mishosho kwa kumpoteza Mjomba wenu mpendwa Kato Katunzi
Maswahiba pichani ni kijana Edgar Mishosho na Aziz (voque)Kyamani
Moja kwa moja kutuka kijijini Nyakatuntu Kyerwa nyumbani kwa Mzamir Katunzi.
Mr. Ben Mulokozi na Mzamir Katunzi katika picha ya pamoja
Bwana David akibadilishana mawazo na mmoja wa watoto wa kuzaliwa na marehemu Kato Katunzi
Muendelezo wa picha za pamoja kwa kuzingatia makundi mbalimbali
Muendelezo wa picha za pamoja kwa kuzingatia makundi mbalimbali mara baada ya #mazishiyaKatokatunzi yaliyofanyika siku ya Jana nyumbani kwao Kijijini Nyakitundu Kyerwa-Karagwe
Mapema ya Jana Wakati MzeeGosbart Matambula akiwasili katika Uwanja wa ndege Mjini Bukoba tayari kwa safari ya kuelekea Karagwe kushiriki mazishi ya rafiki yake Kato Katunzi
Mdau wetu Ben Mulokozi na Papa Msofe mara baada ya kuwasili Mjini hapa kwa ajili ya kushiriki #mazishiyaKatokatunzi Kijijini Nyakitundu Kyerwa-Karagwe
ENDELEA KUWA NASI KWA MATUKIO ZAIDI
0 comment:
Post a Comment