SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

20 April 2018

MWILI WA EDGAR RUTARAKA WAWASILI BUKOBA

Mapokezi ya Mwili wa Mpendwa wetu Edgar Rutaraka mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Mjini Bukoba mapema ya leo,Mazishi yake yatafanyika Siku ya kesho Ijumaa April 21,2018 Nyumbani kwao kijijini Bundaza-Ibwera Bukoba.saa 9 alasri
 Mjane wa Mpendwa wetu Edgar Rutaraka akifalijiwa na Kaka yake mara baada ya kuwasili mjini hapa 
 Muonekano wa Jeneza lenye mwili wa Mpendwa wet Edgar Bitakwese Rutaraka
Marehemu Edgar Rutaraka pichani enzi za uhai wake,alifariki siku ya Jumapili tarehe 15 April,2018  katika hospitali ya Sanitas Jijini Dar baada ya kuugua kwa muda mfupi
 Msafara wa magari ukiwa tayari kwa safari kuelekea kijijini kijijini Bundaza-Ibwera Bukoba
 Bi Rehema Ramadhani Ridhiwane akiwasili uwanjani hapo kuungana na wanafamilia kwa ajili ya kuusindikiza mwili wa Mpendwa wetu Edgar Rutaraka
 Pichani kulia kabisa ni Edmund Rutaraka ambaye ni Kaka wa Marehemu akiwa ameungana na waombolezaji wengine katika kuupokea mwili wa mpendwa wetu Edgar Rutaraka.
 Baadhi ya wanafamilia nje ya Uwanja wa ndege wa Manispaa Bukoba
 Taswira mbalimbali muda mchache kabla ya safari kuelekea Kijijini kijijini Bundaza-Ibwera Bukoba kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika Ijumaa saa 9 alasri.
 Pochani anaonekana Bwana Rahym Kabyemela akiweka utaratibu sawasawa,kulia kwake ni Mdau Rama Kambuga
 Kutoka jijini Mwanza pichani ni Mdau Emma
 Mzee Rutaraka baba mzazi wa marehemu Edgar Rutaraka akiwa na mjukuu wake

Bi Godoliver Bayona katika picha na OptatyHenry.
Bukobawadau tunatoa pole kwa familia ya Mzee Rutaraka kufuatia kifo cha Mtoto wake wake Mpendwa Edgar Bitakwese Rutaraka tunatoa pole kwa watoto wa Marehemu ndugu jamaa na marafiki...Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe!!!

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU