SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

07 May 2018

FORODHA WOMEN GROUP WAJIPONGEZA KATIKA SHEREHE YAO YA MWAKA

 Mwenyekiti wa Kamati ya shughuli ya Forodha Women Group akitoa neno la ukaribisho kwa wanachama wa chama hicho wakati wa sherehe yao ya Mwaka iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
 Mtunza Hazina  wa Chama Cha Forodha Women Group  akizungumza jambo mara baada ya kutajwa kuwa ndiye mwanachama bora wa mwaka katika kikundi chao.
 Mwenyekiti wa Forodha Women Group akitoa hotuba yake kwa wana kikundi wakati wa sherehe ya Mwaka.
Muendelezo wa matukio ya picha wakati shughuli inaendelea.

Shughuli inaendelea kwa matukio zaidi ya picha ungana nasi katika kurasa zetu Instgram @bukobawadau Facebook @bukobawadau
 Katika picha ya pamoja wanakamati wa kamati ya maandalizi
Mwisho

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU