SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

03 May 2018

ZIARA YA RAIS MAGUFULI MKOANI IRINGA

 Taaswira ya Barabara ya Iringa-Dodoma katika sehemu ya Isimani mkoani Iringa, Barabara hiyo ya kutoka Iringa- Migori hadi Fufu km 189 imefunguliwa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika kijiji Ndolela mkoani Iringa.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Migori wakati akiwa njiani kuelekea Isimani mkoani Iringa ambapo alifungua rasmi Barabara ya  Iringa- Migori hadi Fufu km 189. PICHA NA IKULU

0 comment:

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU