Bukobawadau

MISA MAALUM YA FAMILIA YA MZEE MWIJAGE BIKOCHE ILIYOFANYIKA KIJIJINI KITOBO

Picha ya pamoja ya familia ya Mzee Mwijage pamoja na Baba Paroko wa parokia ya Buyango mara baada ya Misa maalum ya sakramenti ya ndoa kwa umuhimu wa familia ya Mzee Mwijage.
 Baadhi ya watoto wa kuzaliwa na mzee Mwijage wakiwa katika picha ya pamoja na Mzee wao pamoja na Baba Paroko.
 Mzee Bilikwija pichani kushoto Ndugu wa kuzaliwa na Mzee Mwijage,kulia kabisa ni Mama Kamala.
 Ndugu wa familia wakiwa katika picha ya pamoja
Waalikwa wakiendelea kushiriki Ibada maalum iliyoandaliwa nyumbani kwa Mzee Mwijage kijijini Kitobo
 Taswira wakati Ibada maalum inaendelea
 Ibada ikiwa inaendelea...
 Taswira mbalimbali katika picha kupitia #bukobawadau kutoka kijijini Kitobo.
 Utaratibu wa kutoa sadaka wakati wa Ibada
 Utaratibu wa kutoa sadaka ukiwa unaendelea kwa waumini walioweza kushiriki Ibada hiyo 
 Hakika ni siku ya furaha kwa wanafamilia kwa umuhimu wa matukio mawili kubwa ni la mzee kupokea Sakrament na kuamia katika makazi mapya.

 Muendelezo wa matukio ya picha
 Pongezi kutoka kwa marafiki wa familia
 Muendelezo ya matukio ya picha wageni mbalimbali wakimpongeza mzee Mwijage.



 Muonekano wa Nyumba mpya iliyofanyiwa Misa maalum.
 Mzee Mwijage akitoa neno lashukrani
Pongezi za hapa na pale zikiendelea
 Pongezi kwa Mzee Mwijage mara baada ya kutamkwa rasmi kuwa amepokea Sakramenti ya ndoa yenye kuwaunganisha wakristo wawili mume na mke wake..


 Mzee Mwijage akiteta jambo na mwanae William Mwijage




Kulia pichani ni  Mr Magera mkwe wa Mzee Mwijage
 Sehemu ya marafiki wa familia waliotoka jijini Dae es Salaam kwa ajili ya kuungana na familia ya Mzee Mwijage katika hafla hiyo
 Mzee Baruti wa Nkango na mwanae Ruga.
 Muendelezo wa matukio ya picha
 Mama na binti yake Bi Vaileth Mwijage.
Sehemu ya waalikwa wakati wakiwasili eneo la tukio kuungana na familia ya Mzee Mwijage
Picha ya pamoja
 Tukio la Kubaliki makaburi ya wazazi waliotangulia mbele ya haki
 Wakati Baba Paroko akibaliki makaburi.

 Ben Mulokozi akiteta jambo na Ndugu Muzo
 Tukio la kukata utepe kuashiria ufunguzi/uzinduzi wa nyumba makazi mapya ya Mzee Mwijage
Tukio la kubaliki makazi mapya (Nyaluju)  
 Matukio ya kukabidhi zawadi kutoka katika makundi mbalimbali na wanafamilia

 Mzee Mwijage akitoa utambulisho kwa baadhi ya watoto wake walioweza kuhudhuria shughuli hiyo iliyofanyika nyumbani kwake kijijini Kitobo
 Utambulisho ukitolea kwa mzazi mwenzake mama wa watoto wake Mama Wiliam.
 Mzee Patrik Ishengoma pichani kulia
Mwisho muonekano wa sehemu ya zawadi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau