SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

28 July 2018

BALOZI DR KAMALA ATEMBELEA VYAMA VYA USHIRIKA NA VITUO VYA AFYA JIMBONI KWAKE

Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr.Diodorus Buberwa Kamala anaendelea na ziara yake Jimboni kwake kwa kuvitembelea vyama mbalimbali vya Ushiriki pamoja na vituo vya Afya
Jengo la Chama cha ushiriki cha Mwemage kata Kilimilile
 Changamoto iliyopo  ni uhaba wa magunia yanayotumika kusafirishia kahawa.
Balozi Dk Kamala akiongea na karani wa Chama cha ushirika cha Kilimilile
 Karani wa Chamacha Ushirika cha Mwemage akitoa ufafanuzi namna Zoezi la ununuaji wa zao la kawawa linavyoendelea chini ya KCU 1990 Ltd
 Anakutana na Mama aliyejifungua salama katika kituo cha zahanati ya kilimilile


 Bango la Zahanati ya  Mwemage.
 Muuguzi wa Zahanati ya Mwemage mara baada ya kukabidhiwa vitambaa maalum kwa ajili ya kuweka kwenye mzani mara baada ya mtoto kuzaliwa
Mwisho Mbunge Balozi Dr.Kamala bado anaendelea na Ziara yake Jimboni sambamba na mikutano mbalimbali na wananchi.

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU