SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

19 July 2018

BALOZI DR.KAMALA AWAPONGEZA WORLD VISION MISSENYI ADP

 Balozi Dr. Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge ametembelea miradi ya elimu, afya na maji iliyofadhiliwa na World Vision na kutoa ushauri kwa Halmashauri ya Missenyi kujifunza mbinu mbali mbali za kusimamia miradi na kuhifadhi vyanzo vya maji.
Balozi Dr. Kamala wakati akikagua miundombinu ya Maji iliyofadhiliwa na World Vision inayowanufaisha wananchi wa Wilaya Missenyi
Mratibu wa Kituo cha World Vision Missenyi ADP akikabidhi Risala mara baada ya kuisoma kwa mgeni Rasmi Mbunge Balozi Dr. Kamala


Mwalimu Hanifa Tayo ambaye ni Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Mabuye -Missenyi akitolea jambo ufafanuzi kwa Mbunge 
 Baadhi ya wadau waWorld Vision walioambatana na Mbunge Balozi Dr. Kamala wakielekea katika Ukaguzi wa mradi wa Vyoo vya shule ya msingi Mabuye iliyopo Wilayani Missenyi
Mwalimu Hanifa Tayo ambaye ni Mwalimu Mkuu Msaidizi Shule ya Msingi Mabuye akiongozana na Ugeni uliomfikia shuleni hapo kwa ajili ya kukagua miradi Vyoo vilivyodhaminiwa na World Visioni.
 Muonekano wa Vyumba vya Madara Shule ya Msingi Mabuye iliyopo Wilayani Missenyi
  Muendelezo wa matukio ya picha Mbunge akisalimiana na Walimu wa Shule ya Msingi Mabuye #ZiarayaMbungeBaloziDrKamala
Balozi Dr. Kamala (Mbunge) akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea na kukagua mradi wa vyoo vya shule ya Msingi Mabuye uliohaminiwa na World Vision
 Wadau wa World Vision Missenyi pichani
 Wadau wa World Vision Missenyi pichani
Manahabari waandamizi katika ziara ya mbunge huyo pichani ni Diana Deus na Respicius John wa Radio Karagwe
  Muendelezo wa matukio ya picha #ZiarayaMbungeBaloziDrKamala
 Muendelezo wa matukio ya picha #ZiarayaMbungeBaloziDrKamala
  Muendelezo wa matukio ya picha #ZiarayaMbungeBaloziDrKamala
 Hali ya mMradi wa Maji uliopo katika kata ya Bulembo ni nzuri sana kama inavyo onekanakana pichani maji yakiwa yanoka
 Muonekano wa Majengo katika Kijiji cha Bulembo
 Vilevile Balozi Dr. Kamala ametembelea Zahanati mbalimbali ikiwemo ya Bulembo na kutoa Mashuka na  Vitu vya hospital  (Delivery metts)
Tank la Maji lililopo Kata ya Bulembo
Balozi Dr. Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge akiendelea naZiara yake Jimboni  ametembelea Zahanati mbalimbali ikiwemo ya Bulembo na kutoa Mashuka na  Vitu vya hospital  (Delivery metts) vinavyotumika mara kwa mara baada ya Wajawazito kujifungua.


0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU