SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

31 July 2018

NAIBU WAZIRI DKT. NDUGULILE ATEMBELEA HOSPITALI YA MKOA KAGERA

Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile atembelea hospitali ya Mkoa Kagera akiwa katika ziara yake jana July 30,2018 ya kukagua hali ya utoaji huduma katika Mkoa wa Kagera
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Faustine Ndugulile akiongea na wagonjwa waliofika katika Hospitali ya Mkoa Kagera pindi alipofanya ziara ya kukagua hali ya utoaji huduma za afya katika Mkoa wa Kagera.
Baadhi ya wagonjwawaliofika kutibiwa wakimsikiliza Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Faustine Ndugulile
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Faustine Ndugulile akiongea na wagonjwa waliofika katika Hospitali ya Mkoa Kagera siku ya Jana alipofanya ziara ya kukagua hali ya utoaji huduma za afya katika hospitali hiyo.
 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Faustine Ndugulile akipokea maelezo ya mambo kadhaa aliyohoji kutoka kwa mkuu wa kitengo cha kutunza damu katika hospitali teule ya mkoa Kagera
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Faustine Ndugulile akiongozana na Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dkt Diodorus Buberwa Kamala, Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Deodatus Kinawila pamoja na Viongozi wa hospitali ya Mkoa wa Kagera katika ukaguzi wa maene mbalimbali ya hospitali hiyo
Katika picha ya pamoja

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU