SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

14 July 2018

MAASKOFU MHASHAMU KILAINI NA RWOMA WAONGOZA MAZISHI YA BI HELENA KAKEMBWE

Mamia ya waombolezaji wakiongozwa na Askofu Mkuu Desiderius M. Rwoma wa Jimbo la Bukoba na msaidizi wake Askofu Method Kilaini,katika shughuli ya Mazishi ya Marehemu Ma Helena Yakilira Kakembwe yaliyofanyika Nyumbani kwake Kamachumu- Muleba
 Bi Gode na Bi Gissela watoto wa kuzaliwa na Marehemu Ma Helena Yakilira Inyasi Kakembwe wakiendelea kushiriki Ibada ya maziko ya Mpendwa mama yao
 Sehemu ya wanafamilia wakiendelea kushiriki Ibada hiyo iliyofanyika huko Kijijini Kamachumu
 Wanafamilia wakiendelea kushiriki Ibad ya mazisho ya mpendwa Ma Helena Kakembwe
Wanakwaya wakiimba nyimbo za kuabudu wakati wa shughuli ya mazishi ya mpendwa Ma Helena Yakilira Kakembwe
Askofu Msaidizi Methodius Kilaini wa Jimbo Katoliki la Bukoba akitoa mahubiri wakati wa Ibada ya Ma Helena Yakilira Kakembwe yaliyofanyika nyumbani kwake Kamachumu-Muleba
Watawa wa Kikatoliki wakiendelea kushiriki Ibada ya Mazishi ya Ma Helena
 Endelea kuwa nasi mpaka mwisho kwa mtiriko mzima wa picha na matukio zaidi yanapatikana katika kurasa zetu za facebook na Instagram @bukobawadau 
Marehemu Ma Helena Kakembwe pichani enzi za uhai wake


Pichani ni watoto wakuzaliwa na Marehemu Ma Helena Kakembwewakiendelea kushiriki Ibada.

Matukio ya papo hapo ungana nasi katika kurasa zetu za Instagram na facebook #bukobawadau FOLLOW @BUKOBAWADAU
Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Ma Helena Yakilira Kakembwe likifunguliwa kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho.
Ndugu George mmoja wa watoto wa Ma Helena Yakilira Kakembwe akiandaa mazingira kwa ajili ya zoezi la kutoa heshima za mwisho

 Marafiki wa familia wakiendelea kutoa heshima za mwisho
Mr Datan akitoa mkono wa pole kwa wafiwa mara baada ya kuwasili msibani hapo


Wajukuu wa Marehemu Ma Helena Yakilira Kakembwe wakitoa heshima zao za mwisho
Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho ukiendelea
Waombolezaji wakiendelea kutoa heshima za mwisho kwa mpendwa wao Ma Helena Yakilira Kakembwe
 Salaam za rambirambi zikiendelea 
 Salaam za rambirambi kutoka kwa Waziri Charles Mwijage ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Muleba Kaskazini
 Mwakilishi wa  Mh. Waziri Charles Mwijage Mbunge wa Jimbo la Muleba Kaskazini akikabidhi rambirambi kwa Ndugu George ambaye ni mtoto wa Marehemu Ma Helena.
 Neno la shukrani linatolewa na  Bi Gisela kwa niaba ya familia wa marehemu Ma Helena
 Bi Gisela anatumia fursa hiyo kutoa shukrani za dhati kwa Binti yake pichani mzaliwa na mkazi wa Uingereza
 Bi Gisela na Mwanae mara baada ya kutoa neno la shukrani kwa niaba ya familia kufuatia msiba huu mkubwa wa kuondokewa na Mama Yao mzazi 
Umati mkubwa wa waombolezaji wakiendelea na Ibada #MazishiyaMahelena.
Kwa namna ya pekee familia inampokea kwa hisia kubwa rafiki yao mkubwa Mr.Datan
  Askofu Mkuu Desiderius Rwoma wa Jimbo la Bukoba akitoa rambirambi kwa familia ya Marehemu Ma Helena kwa niaba ya Kanisa
Muendelezo wa matukio ya picha Askofu Mkuu Desiderius Rwoma wa Jimbo la Bukoba akitoa rambirambi kwa familia ya Marehemu Ma Helena kwa niaba ya Kanisa
Muda mchache kabla ya kuelekea eneo la kaburi kwa ajili ya kumpumzisha mpendwa Bibi yetu Ma Helena
Waombolezazi wakiwa na nyuso zenye huzuni mkubwa 
 Jeneza lenye mwili wa Marehemu Ma Helena Yakilira Inyasi Kakembwe likiizwa kaburini
#BUKOBAWAAUAU tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043
 Eneola kaburi #MazishiyaMahelena
 Bi Gissela akiwa tayari kuweka maua kwenye kaburi la mama yake mpendwa Ma Helena
 Muendelezo wa matukio ya picha eneo la kaburi #MazishiyaMahelena
 Utaratibu wa kuweka udongo ukiendelea
 Askofu Kilaini akisimika Msalaba kwenye kaburi la Ma Helena
Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu kati ya Bi Gisela pichani kulia na marafiki wa familia waliofika kuwafariji
 Wakati familia ya Bi Zahara na Mr Datan ikifika msibani hapo kwa ajili ya kuwafariji wafiwa na kushiriki shughuli nzima ya mazishi
 Wanafamilia katika picha ya pamoja
Picha ya pamoja kati ya wanafamilia kwa Ujumla na wajukuu wa marehemu Ma Helena 
 Baadhi ya wajukuu wa Ma Helena wakiendelea kushiriki maziko ya Bibi yao Mpendwa
Muendelezo wa matukio ya picha #MazishiyaMahelena
 Hii ndiyo Nyumba ya Milele ya Mpendwa wetu Ma Helena  tunamuombea kwa Mwenyezi Mungu ampumzishe mahala
 Taswira umati wa waombolezaji #MazishiyaMaHelena
 Taswira mara baada yashughuli ya mazishi.
 Muendelezo wa matukio ya picha #MazishiyaMahelena
Muendelezo wa matukio ya picha #MazishiyaMahelena
Mwisho #BUKOBAWAAUAU tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043

FOLLOW @BUKOBAWADAU KWA MATUKIO YA HAPO HAPO

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU