SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

13 July 2018

MISA YA SHUKRANI NA SHEREHE YA KUMPONGEA PADRE EGIDIUS KATARUGA KIJIJINI KWAO GERA

 Pata matukio ya picha yaliyojiri katika Sherehe ya kumpongeza Padre Egidius Kataruga ((wa katikati pichani) kwa upadirisho na Misa ya shukrani #ThanksgivingMass iliyofanyika Jumatano July 4,2018 Nyumbani kwao Kijijini Gera Parokia ya Mugana -Bukoba na kuhudhuriwa na umati mkubwa wa watu
 Mlangira Focan Lutinwa na Mlangira Ben Kataruga katika picha ya pamoja na Mdogo wao Fr. Egidius Kataruga
Katika picha maalum Padre Egidius Kataruga na wazazi wake Baba na Mama ,kwa umuhimu tunawapa pongezi sana kumpata mtume wa Kanisa,hongera sana Mlangira Archard Kataruga.
 "....Mdogo wao,na tazama anawachunga Kondoo"  
                  (1sam 16:11)
Padre Egidius Archard Kataruga amewaombea neema na Baraka za Mungu wazazi,ndugu,wafadhili na wote waliomsaidia kuijongea Altare ya Bwana.


PadrePare  Egidius Kataruga akiwa katikati ya waumini wa kikatoliki waliohudhuria sherehe hiyo na Misa ya kumpongeza. 
Padre Egidius Kataruga akiwa katikati ya waumini wa kikatoliki waliohudhuria sherehe hiyo na Misa ya kumpongeza. 
Sehemu ya Wazazi wake wakati shughuli ikiendelea
Katika picha maalum na Watawa.
Hakika ni historia ya aina yake pale Wazazi wa Padre Egidius Kataruga walipojongea mbele kwa ajili ya kupata komunio
 Zawadi maalum kutoka kwa Mama yake mzazi.
 Wazee wa Ukoo wakiongozana na Mlangira Archard Kataruga,Baba Mzazi wa Padre Egidius Kataruga kwa ajili ya kukabidhi zawadi za kimila
 Baba Mzazi akikabidhi zawadi hizo kwa mwanae Padre Egidius Kataruga
Zawadi hizo ni pamoja na Kanzu
Padre Egidius Archard Kataruga akitoa neno la shukrani
'..Nawaombea neema na baraka za Mungu wazazi,walezi,ndugu wafadhili na wote waliomsaidia kuijongea Altare ya Bwana'.
...Eee,Mungu uwapokee kwako mbinguni marehemu Baba zangu Ezakiel Kataruga na John Arsen,Bibi zangu Emerensiana Kichemu na Leocadia Nyamwiza,Ndugu zangu Elieth Butoni,Erick Mwesiga,Mwl. Santurinini,Ma Gratia na marehemu wote....
...Eee,Mungu uwapokee kwako mbinguni marehemu Baba zangu Ezakiel Kataruga na John Arsen,Bibi zangu Emerensiana Kichemu na Leocadia Nyamwiza,Ndugu zangu Elieth Butoni,Erick Mwesiga,Mwl. Santurinini,Ma Gratia na marehemu wote.
Baba Paroko wa Gera akitoa utaratibu kwa mujibu wa ratiba ya sherehe hiyo
Pata matukio ya Misa yakifuatiwa na matukio ya zawadi kutoka kwa watu wote pamoja na burudani


 Wakati Ibada ikiendelea
Taswira mbalimbali eneo la tukio


 Sehemu ya Mapare walioshirika katika Misa hiyo
 Wanakwaya wa Kigango cha Gera
 Sehemu ya Wadau
 Upande wa wazazi wakiendelea kushiriki Ibada hiyo,pichani kulia ni Dr. Mboneko
 Mama Kataruga na Dr. Mboneko wakati Misa ikiwa inaendelea
 Wanafamilia wakiwa tayari kwa ajili ya kutoa vipawa.
#UpadirishoPadreKataruga
Utambulisho kwa mapadre wote ukiendelea...
Matukio ya picha maalum kwa ajili ya Kumbukumbu
#UpadirishoPadreKatarugaBUKOBAWADAU tunapenda kufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043
Instagram@bukobawaau follow@bukobawadau

Mlangira Ben Kataruga na Mlangira Focas Lutinwa wakifuatilia kinachojiriMuendelezo wa matukio ya picha 
 Muonekano wa Keki #UpadirishoPadreKataruga
 Muonekano wa kitu ndafu #UpadirishoPadreKataruga
Kutoka Jijini Dar es Salaam wanachama wa Chama cha Dr. Mboneko wakikabidhi zawadi yao
Matukio ya picha kwa kuzingatia makundi mbalimbali.
Katika picha ya pamoja na kamati ya maandalizi ya sherehe hiyo iliyofanyika Kijijini Gera.


Picha za kumbukumbu #UpadirishoPadreKataruga
Matukio ya picha #UpadirishoPadreKataruga
Wanafamilia wakitoa pongezi kwa Baba Mzazi wa Padre Kataruga.
Ndugu wa familia katika picha ya pamoja
Muendelezo wa matukio ya picha za kumbukumbu
Picha za kumbukumbu zikiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali

Endelea kuwa nasi kwa matukio zaidi ya Picha
 Msafara mara baada ya Misa,baada ya hapo ni tukio la Waalikwa wote kupata huduma ya Chakula


 Msafara mara baada ya shughuli ya Ibada
 Sherehe ikiendelea kuchukua kasi
 Wakati sherehe ikiwa inaendelea
Zawadi za kila aina zikiendelea


 Marafiki wa familia na Vikundi mbalimbali vikiendelea kumimina zawadi.


 Ndugu jamaa na marafiki wakiendelea kutoa mkono wa pongeza na zawadi mbalimbali kwa Padr Egidius  Kataruga na wazazi wake
Muendelezo wa matukio ya picha.
 Wakati wazazi wakirishwa Keki
 Sasa ni mwendo wa burudani ukumbini
#UpadirishoPadreKataruga
 Pongezi za hapa na pale pamoja na burudani
 Shangwe zikiendelea ukumbini
 Bonge la burudani kutoka kwa msanii 
Matukio zaidi yanapatikani katika kurasa zetu za facebook na Instagram @bukobawadau
Padre Egidius Archard Kataruga pichani
 Mlangira Ben Kataruga hongera sana ndugu ,hongera kwa familia
Mwisho #BUKOBAWADAU tunapenda kufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043
Instagram@bukobawaau follow@bukobawadau

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU