SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

13 July 2018

WAZIRI MWIJAGE ATEMBELEA UJENZI WA KIWANDA KIPYA CHA AMBIANCE DISTILLERS (T) LTD

 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage ametembelea na kukagua Ujenzi wa kiwanda kipya cha Ambiance Distillers (T) Limited watengenezaji wa Mvinyo na Vinywaji vikali ,Kiwanda hicho kipo maeneo ya Miembeni Manispaa Bukoba kinatalajiwa zinduliwa rasmi hivi karibuni

 Mwekezaji kutoka nchini Uganda,Ndugu Musis akiongea na vyombo vya habari


 Mh.Charles Mwijage Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji akisalimia na Ndugu Musisi ambaye ni mwekezaji kutoka nchini Uganda.
 Majengo ya  kiwanda kipya cha Ambiance Distillers (T) Limited kilichopo Miembeni Manispaa Bukoba
 Muonekano wa Jengo la kiwanda kipya cha Ambiance Distillers (T) Limited  

 Mr. Musisi pichani kushoto na Mh.Charles Mwijage Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji.
Mr Cathbart Basibila na Mr. Porojestus Baisi ni kati ya wadau walioweza kualikwa wakati wa ziara ya Mh. Charles Mwijage

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU