SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

19 July 2018

ZIARA YA BALOZI KAMALA KATA KAKUNYU

 Balozi Dr.Diodorus Buberwa Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge,mkoani Kagera ameendelea na ziara yake siku ya Jumanne July 17,2018 Katika kata ya Kakunyu -Missenyi na kuzisikiliza kero mbalimbali na kuzipatia ufumbuzi.
Pichani Balozi Dr.Diodorus Buberwa Kamala akipokea Zawadi ya Asali kutoka kwa kikundi cha ufugaji nyuki ,Balozi Dk Kamala kwa jitihada zake za kuwasaidia wafugaji ametoa shukrani kwa kikundi hicho cha wafugaji Nyuki kwa zawadi waliompatia.
  Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr.Diodorus Buberwa Kamala akiongea na wananchi wake waliohudhuria mkutano wa hadhara uliofanyika siku ya Jumanne July 17,2018
 Wananchi wakiwa wamesimama na kusali kwa dakika moja kuwaombea wenzao wawili  waliotangulia mbele ya haki kufuatia vurugu zilizojitokeza hivi karibuni
Sehemu ya wananchi wa Kakunyu waliohudhuria mkutano wa Mbunge wao Balozi Dr.Kamala.
 Mtendaji waKata ya Kakunyu akitoa taarifa ya maendeleo ya Kata hiyo mbele ya Mbunge  Balozi Dr.Diodorus Buberwa Kamala
 Mkutano huo ulioanza kwa wananchi kueleza kero zao kwa mbunge wao kama inavyoonekana pichani baadhi ya wananchi wakiwa mbele kutoa kero zao

 Wananchi wakiendelea kufuatilia kinachojiri katika mkutano huo
 Mbunge Balozi Dr. Kamala akisikiliza kero za mpiga kura wake kabla ya kufanya majumuhisho na kuzitolea majibu.
 Wananchi wakiendelea kutoa hoja zao

Wananchi wakiwa mbele ya Mbunge wakitoa kero zao
 Taswira mbalimbali mkutano waMbunge Balozi Dr. Kamala Kata Kakunyu.
 Taswira mbalimbali eneo la tukio
  Taswira mbalimbali mkutano waMbunge Balozi Dr. Kamala Kata Kakunyu.
 Katibu wa Mbunge Tarafa ya Missenyi Ndugu Peter Mwafiwa akiongea na wananchi wa Kakunyu
Mwisho Balozi Dr.Diodorus Buberwa Kamala akisalimiana na Wananchi mara baada ya mkutano wake wa hadhara

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU