SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

24 August 2018

TANZIA:KIFO CHA PADRE GENESIUS KAIZA

Mhashamu Baba Askofu Severine Niwemugizi wa Jimbo Katoliki la Rulenge -Ngara, anatamgaza Kifo cha Padre Genesius Kaiza.
Kilichotokea Alfajili saa 10:30 ya Tarehe 23.08.2018 maeneo ya Buseresere akiwa anapelekwa Hospitali ya Rufaa ya Bugando Mwanza.
Maziko yatafanyika siku ya Jumamosi Tarehe 25. 08. 2018, yakitanguliwa na Ibada ya Misa Takatifu itakayoanza saa 4:00 asubuhi katika Kanisa la Kristo Mfalme - Rulenge - Ngara.
Habari ziwafikie:
1. Maaskofu wote.
2. Mapadre wote na Watawa wote.
3. Waamini wote pamoja na Ndugu, Jamaa na Marafiki popote walipo.
+RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE APUMZIKE KWA AMANI.+ AMINA.
Uongozi wa Radio Maria Tanzania unatoa pole nyingi kwa Baba Askofu Niwemugizi, Mapadre Watawa pamoja na Taifa lote la Mungu.
#PumzikolaMilele
#RadioMariaTz

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU