Bukobawadau

KARIBU ARENA GRAND MOTEL KWA HUDUMA BORA ZA MALAZI

Karibu ARENA GRAND MOTEL kwa huduma bora za malazi na Chakula kwa bei nafuu kabisa ipo maeneo ya Nyamkazi Mjini Bukoba, ni sehemu tulivu kutokana na kutokuwepo kwa pilika nyingi maeneo hayo,Arena Grand Motel ina eneo zuri na salama kwa ajili ya maegesho ya magari.Kwa maelezo zaidi wasiliana nao kwa simu No. 0756050612 /0757890966
Arena Grand Motel ina eneo zuri na salama kwa ajili ya maegesho ya magari
Mkurugenzi Arena Grand Bwana Sudi Kabano muungwana mwenye nidhamu na upendo wa hali ya juu anapenda kuwakaribisha @ArenaGrandMotel 


 Unapata fursa ya kufurahia maua mazuri na yaasili pamoja na Upepo safi kutoka Ziwa Victoria


 Kwa huduma nzuri na ya kisasa ya Malazi tembelea ARENA GRAND 
Vyumba vizuri na vitanda vikubwa
Sehemu ya mapokezi utakutana na wahudhumu nadhifu wenye kupendeza.
 Arena Grand Motel ni sehemu sahihi kwa mapumziko yako.
 Kuelekea mapokezi
Taswira mbalimbali mazingira ya arena grand MOTEL Kwa maelezo zaidi wasiliana nao kwa simu No. 0756050612 /0757890966
Next Post Previous Post
Bukobawadau