tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post3122625803363218009..comments2023-08-17T15:49:42.035+03:00Comments on BUKOBA WADAU : WATU ZAIDI YA 10 WAPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI YA GARI ILIYOTOKEA ENEO LA MAKONGO JIJINI DAR MCHANA WA LEO JUNE 21,2014BUKOBAWADAUhttp://www.blogger.com/profile/11880331576139974848noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-27311514945769152592014-07-14T19:37:38.286+03:002014-07-14T19:37:38.286+03:00ooooh God!!! Hivi hii hali kweli na .......... ukw...ooooh God!!! Hivi hii hali kweli na .......... ukweli dada M/S. Prudence kaongea tayari. Natoa salam za pekee kwa ndugu na Jamaa walopoteza ndugu na pia kwa Taifa letu, ebu jamani tuangalie na vifo vingine basiiiiiiii aaahhh inaumaaa nyie!!! acha tuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-22870412962444130912014-06-23T20:07:48.346+03:002014-06-23T20:07:48.346+03:00Madreva wanatumaliza sisi tukiwa tunawaangalia tu!...Madreva wanatumaliza sisi tukiwa tunawaangalia tu! Wengi wa madreva ni wavuta bangi, wanaendesha magari kibangi bila sisi kutia neno, na ikitokea ukasema kuwa mwendo anaoenda dreva si wa usalama unaweza kushambuliwa na abiria wenzako kabla ya unayemlenga! Bila sisi wenyewe kujirudi hawa wavuta bangi watatumaliza.Prudence Karugendonoreply@blogger.com