tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post3966108264803770797..comments2023-08-17T15:49:42.035+03:00Comments on BUKOBA WADAU : HUU NI UBAGUZI WA RANGI UNAONUKA KULIKO WA MAKABURUBUKOBAWADAUhttp://www.blogger.com/profile/11880331576139974848noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-29418555151575547742014-02-06T00:07:26.666+03:002014-02-06T00:07:26.666+03:00Ninadhaani ubaguzi unaonekana ikitendwa na mwenye ...Ninadhaani ubaguzi unaonekana ikitendwa na mwenye asili ya kiasia.. ila hata waswahili wenyewe mara nyingi tunatenda matendo yale yale.. je hapo tutaiitaje? Sehemu nyingi nchini kwetu tunatukanana sisi wenyewe kwa wenyewe wenye rangi moja na uasili huo huo kwanini isizuke jambo hilo na likatajwa kwa tamko la ubaguzi ikaonekana watanzania wenye rangi tofauti ndo watu pekee wanaowanyanyasa wenzio?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-39610453888160146042014-02-06T00:02:04.028+03:002014-02-06T00:02:04.028+03:00Habari ndugu.. kwa taarifa nilizonazo mimi.. jengo...Habari ndugu.. kwa taarifa nilizonazo mimi.. jengo lilikuwa bado katika ujenzi.. hawakuwemo watu waliokuwa wanaishi hapo.. walionusurika haswa ni wapita njiani. mafundi waliokuwa wanaendelea na kazi katika jengo hilo.. na watoto waliokuwa wakicheza kwenye uwanja wa msikiti karibia na jengo hilo. Hawakuwepo watu waliokuwa wameanza kuishi humu..<br />Ninasema hivyo sababu hata mtoto wa dadangu alifariki aliyekuwa miongoni mwa watoto waliokuwa wakicheza.. na pia katika picha za ajali hiyo kuna picha lenye bango la ujenzi Anonymousnoreply@blogger.com