tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post6217846439087537152..comments2023-08-17T15:49:42.035+03:00Comments on BUKOBA WADAU : KINACHOFICHWA NA UKAWA NI HIKI HAPABUKOBAWADAUhttp://www.blogger.com/profile/11880331576139974848noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-55812089851871199982014-05-14T12:48:05.780+03:002014-05-14T12:48:05.780+03:00Huyu mhariri ni CCM kulingana na maelezo yake kwah...Huyu mhariri ni CCM kulingana na maelezo yake kwahyo anavutia upande wake.<br /><br />Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-69631283367692205002014-05-13T13:20:12.742+03:002014-05-13T13:20:12.742+03:00Siasa siyo hesabu, kuwa mbili jumlisha tatu ni saw...Siasa siyo hesabu, kuwa mbili jumlisha tatu ni sawa na moja jumlisha nne. Siasa ni mchezo wa Chess (kwa wanaouelewa). Unatumia udhaifu wa mpinzani wako kummaliza. Kama unaweza kummaliza kwa kuwa karibu naye ni sawa. Hiyo ndiyo siasa. Mwandishi wa makala ana uhakika na nini CUF na CCM walikubalina kabla ya kuunda Serikali ya Umoja? Mbona tumeona viongozi wa CCM wanakana maoni yao waliyotoa kwa Tume ya Warioba baada ya Chama chao kuwa na msimamo tofauti? Sasa haikwezekani kuwa katika kuunda Serikali ya Umoja walikubalina kuhusu serikali tatu? Ndani ya CCM kuna unafiki wa hali ya juu. Watu hawasemi wanachokiamini bali wanaongozwa na maslahi yao binafsi.Anonymousnoreply@blogger.com