tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post6896316122059741515..comments2023-08-17T15:49:42.035+03:00Comments on BUKOBA WADAU : SOMA MAONI YA MDAU JUU YA SIASA ZA BUKOBA NA MH. KAGASHEKIBUKOBAWADAUhttp://www.blogger.com/profile/11880331576139974848noreply@blogger.comBlogger9125tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-27866811226600717582013-02-13T12:01:40.707+03:002013-02-13T12:01:40.707+03:00TAFUTENI KIWANJA KINGINE MJENGE SOKO. LILIPO SOKO ...TAFUTENI KIWANJA KINGINE MJENGE SOKO. LILIPO SOKO NI SEHEMU NDOGO SANA JE MIUNDO MBINU ITAKUWAJE,KWANINI HAMTAKI MJI WA BK HUPANUKE?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-46810438047649890032012-11-29T14:13:08.439+03:002012-11-29T14:13:08.439+03:00Haya haya haya. Wana Bukoba mkoje? Hata mabo ya ka...Haya haya haya. Wana Bukoba mkoje? Hata mabo ya kawaida mnashindwa kuchambua alafu mnajiita nshomile? Huyu Kagasheki keshawaona mabwege ndo maana anawatwist atakavyo! Akisema mambo...mnaitikia ngweee!! Pesa zake ni zake, tnahitaji kuona maendeleo na sio vimisaada vyake vya kishkaji,alafu na matusi ya nguoni kwenye mikutano!.Huko sio ktetea wananchi bali ni kutetea maslahi yake tusdanganyane.Soko hilo likijengwa,watakaofaidi ni mamia ya wakazi wenu hata mara 5 zaidi ya ilivyo sasa hata kwa vizazi vijavyo.Magufuri ndio maana anafanikiwa,hafanyi kazi kisiasa, anatpanga na anatekeleza. Yaonekana na washauri wa Kagasheki hawana shule yyte vichwani na ndo nawaamini, kmbe mmh!!Ndio watamwondoa<br />Roger Ruttanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-18473736225692275312012-11-29T12:23:21.710+03:002012-11-29T12:23:21.710+03:00Solution ni halmashauri watafute sehemu wajenge so...Solution ni halmashauri watafute sehemu wajenge soko jipya...baada ya hapo watu wahamishiwe kwenye soko jipya kutoka kwenye soko la zamani lifanyinye ukarabati soko la zamani libaki kama kumbukumbu...mfano upo mwanza nao kulikuwa na mgogoro wa soko wakaamua kujenga soko jipya sehemu nyingine na kuliacha soko la zamani wakisubiri kumalizika soko jipya na watu wahamishiwe huko...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-3947020605845672802012-11-29T12:22:33.512+03:002012-11-29T12:22:33.512+03:00Hapo kila mmoja ana mapungufu tena makubwa lakini ...Hapo kila mmoja ana mapungufu tena makubwa lakini pia wote hawana busara. Mmoja kuongelea Radioni na mwingine ktk mkutano wa hadhara ni kuonyesha jinsi ambavyo hawajakomaa ktk maamuzi na wanaishi kinafiki sana. Pia Kagasheki ana washauri walio local sana, sio wasomi wala hawana exposure, kila wakilala wakiamka wanaona mazingira ya hapo hapo. Lkn pia akili za kuambiwa changanya na zako. Anyway nyie lumbaneni ila 2015 tunaomba majibu ya ahadi zote zilizotolewa na nyie woteAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-41213656109702204502012-11-29T12:12:59.037+03:002012-11-29T12:12:59.037+03:00...mbunge hapingi ubomoaji wa soko anachopigania n......mbunge hapingi ubomoaji wa soko anachopigania ni haki ya watu waliopo hapo sokoni...huwezi kuhamisha watu ndani ya mwezi mmjo ukizingatia ndani ya soko kuna wafanya biashara wa aina tofauti...kuna watu wenye maduka ya nguo ndugu zetu kama g-smart..evody..na wengineo hawa hawauzi nyanya ama vitunguu kusema wakiamishiwa kwenye maeneo kama nyakanyasi sokoni,miembeni amajengo la ccm wataweza kupanga nguo ama viatu vyaochini na kuuza...!!?inahitajika sehemu ya kuweka mali zao kwa usalama ...isitoshe watu wanamikopo mbali mbali huwezi ukamwambia wahame wakaanze kujenga banda wataweza kweli kulipa huo mkopo...inabidi tujiulize...hayo yote yanamfanya mbunge awe na mashaka...kwani wote tunaelewa ni jinsi gani halmashauri zetu zilivyokuwa na ubadhilifu wa fedha za umma...halmashauri wameshindwa kukamilisha mpaka sasa mradi wa stendi ya mabasi kyakairabwa ambapo hakuna hata mtu mmoja wa kuhamisha...wanangangania nini mradi wa soko...mi nadhani kwenye kuhamisha watu kunaulaji...wa milioni hizo mia nne na nusu (milioni 450)ambazo mbunge anazitakia maelezo...Ushauri wa bure waachane na ujenzi wa soko..watafute sehemu nyingine ambapo watakapo jenga soko jipya litakapo malizika watu wahamishwe kwenye soko jipya..na hili la zamani likarabatiwe baada ya kumalizika ujenzi wa soko jipya...soko la zamani libaki kama kumbukumbu...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-21361715468216177192012-11-28T19:41:43.872+03:002012-11-28T19:41:43.872+03:00Huyo jamaa wa mwisho anachozungumza hajakielewa. K...Huyo jamaa wa mwisho anachozungumza hajakielewa. Kuhojiwa kwa Meya hakumtegemei mbunge. Katika council mbunge anaingia mle kama diwani, hivo anakuwa chini ya meya. Mkutano wa Kagasheki kama mbunge hakuwezi kuathiri Meya kuzungumzia maendeleo ya mji. Katika maendeleo ya eneo husika, mbunge ni mwakilishi wa watu kwenye bunge, anapokuwa kwenye halmashauri ni mshauri, anapenekeza, lakini uamuzi wa nini kifanyike ni Halmashauri chini ya Meya, mkurugenzi na wataalam wa manispaa. Huku kwetu ambako hakuna kuheshimu kanuni za utawala ndo unakuta waziri anaingilia kila idara na mwisho hakuna maendeleo. Mradi wa soko haukuanza jana, ni zaidi ya mwaka mmoja na nusu, kuna propasal, bussiness plan, contract n.k. Kagasheki angelionesha kasoro katika maeneo hayo angeeleweka, lakini kumshambulia mtu kwamba umemchonga kunadhihirisha kwamba alitaka amfanyie anavyotaka yeye kwa ajili ya kura. Maeneo mbadala mbona yameishainishwa, na tayari tender zimetangazwa!? Hata kikao cha juzi mkurugenzi alielezea vizuri swala hili na Kagasheki akiwepo, yeye akabaki kusema ni pesa nyingi!? Ndugu zangu, kwenye maendeleo lazima kuwepo maumivu fulani na mwisho watu wengi wafaidike. Kagasheki anajaribu kuwaaminisha wananchi kwamba binti anaweza kuzaa kwa njia ya kawaida na kubaki Bikira. Utazaaje!!!? Bukoba, Nshomile wake up!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-12547543155685243862012-11-28T11:39:52.480+03:002012-11-28T11:39:52.480+03:00hayo unayosema yote halafu unasema tusifikirie kuw...hayo unayosema yote halafu unasema tusifikirie kuwa unamtetea Amani,sasa tufikirie nini wakati unaonyesha ulikoegemea??<br />nami sikuwepo uwanjani nimeona na kusikia kupitia mtandao kama wewe ila mtu anaweza akaongea kitu watu wakatafsiri watakavyo kulingana na uelewa wao,alichosema Kagasheki ni sahihi kwa mtu anayetazama mbali,swala la ujenzi wa soko si la kukurupuka ni swala la kuangalia waliomo watafutiwe sehemu mbadala ya kutafuta riziki,pili lazima ijulikane tenda kapewa nani na ana uwezo gani sio kutuletea ma richmond mengine,kukopa bila kuwa na mpango wa jinsi gani pesa zitalipwa ni moja kati ya mambo yanayotudidimiza sisi wa africa maana kila siku mikopo haishi na wazungu wanatubuluza watakavyo kwa ajili ya madeni,la Amani kwenda vision siyo swala la kumuomba ruhusa kagasheka kama alivyosema kuwa alijua kuna mkutano na ungegusa maswala hayo angeenda kuyasema kwenye mkutano alijiwahi nini??kusema kagasheki hajafanya lolote sio kweli,kama binadamu ana mazuri yake na mapungufu yake hawezi kuridhisha kila mtu na hawezi kufanya yote yeye si Mungu,ila yapo ambayo kayafany so acheni kuchochea chuki zenu binafsi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-76542481214611076042012-11-27T20:17:20.218+03:002012-11-27T20:17:20.218+03:00Umepatia asilimia 100. Kagasheki anogopa sana mtu ...Umepatia asilimia 100. Kagasheki anogopa sana mtu anaehisi kuwa anaweza kugombea ubunge jimboni bukoba. Aliishawahi kusema "nitauwa mtu" baada ya kusikia kuwa Prof. Anna Tibaijuka anataka kugombea. Amelewa madaraka kiasi kwamba meya anapaswa kumpa taarifa kabla ya kufanyiwa mahojiano na Radio vision!!! Ana washauri wabovu hapa Bukoba, akina bingwa, Jamal n,k. Isac Byaruhanganoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-32603021765919101272012-11-27T19:23:07.232+03:002012-11-27T19:23:07.232+03:00nimeguswa sana na maelezo hayo, I like itnimeguswa sana na maelezo hayo, I like itAnonymousnoreply@blogger.com