tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post7598548256721442118..comments2023-08-17T15:49:42.035+03:00Comments on BUKOBA WADAU : UCHAGUZI WA MADIWANI KATA 27 CHADEMA KIDUME!!BUKOBAWADAUhttp://www.blogger.com/profile/11880331576139974848noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-56824194284039759552014-02-20T12:05:39.441+03:002014-02-20T12:05:39.441+03:00Hiyo ni comment ya kiwoga nadhani ndiyo maana huta...Hiyo ni comment ya kiwoga nadhani ndiyo maana hutaki kuonyesha jina lako. Sababu nimeonyesha kinachoitwa ushindi wa CCM kilivyo, unapaswa uongelee hilo na si kwenda mrama. CCM ilikuwa na kata 25 ikabaki na kata 23, sasa inashangilia kitu gani? Kupoteza kata 2! Chadema ilikuwa na kata 2 ikaibuka na 3 kwanini isishangilie kata 1 iliyoiongeza? Acha kuwafanya wananchi ndondocha, waache wajifunze kutafakari.Prudence Karugendonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-1490190011062420922014-02-19T01:27:34.440+03:002014-02-19T01:27:34.440+03:00aisee kalugendo kumbe uwezo wako wa kufanya analys...aisee kalugendo kumbe uwezo wako wa kufanya analysis wa mambo ni mdogo sana,you are not critical thinker at all,dammit,nimeishia just the third line reading your waffle writing,how can you compare and contrast mtu aliyeshinda viti23 na aliyeshinda kiti1,embu jaribu ku quantify and come up with something tangible,article zenye mashiko. Anonymousnoreply@blogger.com