tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post9033398334714235504..comments2023-08-17T15:49:42.035+03:00Comments on BUKOBA WADAU : MTIKILA:KUNA CHADEMA MBILI - 'CHADEMA CHUMBANI' NA 'CHADEMA SEBULENI'BUKOBAWADAUhttp://www.blogger.com/profile/11880331576139974848noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-81540957752270856502013-12-05T16:41:44.094+03:002013-12-05T16:41:44.094+03:00Hivi Chama cha Mtikila siyo cha kwenye briefacse? ...Hivi Chama cha Mtikila siyo cha kwenye briefacse? Nani anajua zilipo ofisi zake mahali popote Tanzania? Dar es Salaam kuna tawi moja tu mbalo ndiyo pia makao makuu ya chama. Yaani kwenye flat ya kupanga ambayo pia ndiyo nyumba ya kuishi ya Mtikila pale Ilala karibu na Kiwanda cha Bia. Kwa kifupi Mtikila mwenyewe ni tapeli na chama chake kinaendelea kuwepo kwa hisani ya serikali na CCM. Ni mpayukaji asiye na lolote.Anonymousnoreply@blogger.com