Bukobawadau

SUKARI SUKARI JAMANI SUKARI ;Hali ya Sintofahamu Juu ya Upatikanaji wa Sukari yaanza kuzoeleka Mjini Bukoba!!

Camera yetu mchana wa leo maeneo ya Nje ya soko kuu mjini Bukoba barabara ya Arusha mkabala kabisana Duka la Manywele.
Kama unavyo jionea mdau hapa ni kwa msambazaji wa Sukari ya Kagera Hajj Hamza,ili upatepunguzo yakulazimu mdau kuvumilia hali ya foleni , Sakata hili limechukua mda kwa sasa na kupelekea wadau kuizoea hii hali.
Next Post Previous Post
Bukobawadau