Bukobawadau

Camera yetu pande za Coffee Tree Hotel

Camera yetu ikiangaza maeneo ya Coffee Tree Hotel katika kuona nini  kinacho happen, inakutana na meza ya wadau pichani  kabla ya kusogea na kusalimiana nao .
Kutoka kushoto ni Bi Eunice Luangisa, Bi Pasycazia,Mama Luangisa (Bi Getrude Luangisa)Mzee Samuel Luangisa na Mzee Kassim Karuandila.
 Wadau wakipata mbili tatu huku wakibadirishana mawazo kama walivyokutwa na camera yetu.
Ni hapa na pale na Camera yetu
Next Post Previous Post
Bukobawadau