Bukobawadau

TIMU YA KAGERA SUGAR YALAZIMISHWA SARE UWANJA WA KAITABA WATOKA 0-0 NA JKT RUVU

Hekaheka ambazo azikuzaa matunda langoni mwa Jkt Ruvu, na kulazimisha  sare ya kutokufungana dhidi ya kagera Sugar.
 Mlinda Mlango  wa JKT akianza mpira.
 Anaonekana Daktari wa JKT Ruku akijibishana na wachezaji baada ya kuangaikia kazi yake!!


 Mlinda mlango wa JKT Ruvu  , Shaban Dihile anaonekana kuumia na hapa anapata matibabu,kama kawaida dawa kibongobongo ni panadol na glucose
 Wachezaji wengine wanatumia fulsa hii kukata kiu na maji.
Anaonekana yupo vizuri golikipa  Shaban Dihile(kulia)
Mchezaji wa Kagera Sugar Wilfred Ammeh akiwa tayari kupiga faulu ambayo haikuzaa matunda.
 Ni hatari katika lango la Kagera Sugar
Dakika 45 kipindi cha kwanza zimemaliizika ikiwa timu zote kuonyesha kushambulia kwa zamu.
 Matokeo ya sare  ya kutokufungana kwa kipindi cha kwanza yameendelea mpaka mwisho wa mchezo.
Benchi la Jkt Ruvu
Benchi la timu ya kagera Sugar.
 Meza kuu kutoka kushoto ni afisa utamaduni manispaa Bukoba Ndg Rugeiyamu, Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Misenyi Kanali Mstaafu Issa Njiku na Mwenyekiti wa Chama cha soka Wilaya Ndg Malick Tibabimale..
Sehemu ya Wageni wa Meza Kuu
Wadau wa soka wakiendelea na kufuatilia mtanange.
Wadau wakiendelea kufuatilia soka wakiwa jukwaa kuu la Uwanja wa Kaitaba, anaonekana Uncle Jimmy na Ndg Sued wapo mchezoni .
 Muonekano wa Mashabiki Jukwaa la Kagera Sugar
Mmmoja wa mashabiki  wakubwa wa Kagera Mdau pichani ni Raulence Barongo aka Bondia.
Jukwaa la mchanganyiko wa mashabiki
 Jukwaani anaonekana Mdau Enock na Prosper  (katikati)sambamba na mashabiki  wengine.
 Mashabiki Jukwaa la Golani.
KIKOSI KAMILI CHA JKT RUVU
1.Shaban Dihile 2.Masudi  Masudi 3,Kessy Mapande 4.Hassan Kikutwa 5. Madenge Ramadhani 6.Charles Timoth 7.Jimmy Shoji 8.Ally Khan 9. Amos Mgisa 10. Hussein Bunu 11. Haruna Adolf.
Chini ya Kocha Charles Kulunda.


KIKOSI KAMILI CHA KAGERA SUGAR.
1.Andrew Ntala 2. Juma Nade 3. Kanoni Salum 4.Laban Kambole 5. Benjamini Effe 6.Malegesi Muhangwa 7. Daudi Kane 8 George Kavilla 9. Enyina Darlington 10. Shija Mkina Wilfred Ammeh.
Chini ya kocha Abdallah King Kibadeni.




TUNAKUOMBA KUPITIA OLDER POST KUPATA MATUKIO YA MUDA MCHACHE ULIOPITA!!



Next Post Previous Post
Bukobawadau