UZINDUZI WA WINDHOEK BEER WATIKISA MJI
Uzinduzi wa Washtua jiji la Wandhoek nchini Namibia,Unaendelea kufanyika mjini hapa chini ya Kampuni ya Mabibo Beer na kupokelewa vyema na wadau watumiaji na wapenzi wa bia kutokana na ubora wake.
Anaonekana Bi Vaileth meneja masoko wa Mabibo Beer.
Mdau Devis akishow love na Windhoek mkononi.
Mkurugenzi wa Mabibo Beer kushoto Ndg James Rugemalira katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa The WarkGard Hotel Ndg Matungwa.
Mama Matungwa kushoto na Mama Rugemalira Bi Bendicta Rugemalira.
Mdau Jerome Katanyebire na OMG Rahim Abdul Rahim Kabyemera.
Kutoka kushgoto Ismail Mzava,Meneja mauzo, Dev na wa mwisho ni Ndg Kelvin naye ni meneja mauzo.
Katikati ni Ndg Mganyizi msambazaji mkubwa wa Windhoek mjini hapa.
Burudani za hapa na pale zikiendelea
Uzinduzi huu unaenda sambamba na show kali kutoka kwa kundi maalum chini ya kampuni ya Mabibo Beer wa jijini Dar es salaam
Hakika show inayofanyika sio ya kitoto
Sehemu ya wadau walio hudhulia uzinduzi huu ndani ya Linas Night Club.
Kikundi cha burudani kikiwajibika
Huduma zinaendelea kama kawaida.
Mdau Abdulrazak Majid mtangazaji 88.5.Kasibante Fm Radio kipindi cha michezo kama kawida akifuatilia wafungaji wanaong'ara katika luninga.

UZINDUZI HUU WA WINDHOEK BEER UNAENDELEA MJINI HAPA KATIKA KUMBI MBALIMBALI ZA STAREHE !!